Mlima : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 20:
Milima huwa na historia inayoweza kutazamiwa kama maisha ya mlima. Milima hutokea kutokana na miendo ndani ya [[ganda la dunia]].
 
[[Mabamba ya gandunia]] husukumana na kusababisha kukunja kwa sehemu fulani. Baada ya kuvunjwa kwa sehemu kubwa ya mwamba mwendo wa ganda la dunia unaweza kusukuma kipande kimoja juu,

[[Milima kunjamano]] kama [[Himalaya]] katika [[Asia]], [[Alpi]] za [[Ulaya]] au [[milima ya Atlas|Atlas]] ya [[Afrika ya Kaskazini]] ilitokea hivyo.pale ambako mabamba mawili ya gandunia kukutana na kugongana.

Miendo ya [[gandunia]] husababisha pia kutokea kwa milima baharini inayoweza kutokea juu ya uso wa maji kama [[visiwa]]. Milima iliyotokea kutokana na kukunjwa mara nyingi huonekana kama safu ndefu ya milima.
 
Njia nyingine ya kutokea kwa milima ni [[volkeno]]. Hapa [[magma]] (mwamba moto ulioyeyuka) inapanda kutoka [[koti ya dunia]] inakuta njia kupitia nafasi katika ganda la dunia na kufika usoni kwa umbo la [[zaha (lava)]]. Hapa zaha inaganda kuwa [[mwamba]] imara. Kama akiba ya magma chini ya volkeno ni kubwa inaendelea kupanda juu na kutoka kwenye kasoko ya volkeno. Inapanda juu ya zaha iliyoganda tayari na kwa njia hii volkeno inazidi kukua.
Line 26 ⟶ 30:
Volkeno kubwa Afrika ni Kilimanjaro.
 
Baada ya kutokea milima inaendelea kuwa midogokupungua polepole kutokana na miamba kuvunjika na kusagwa kwa njia ya [[mmomonyoko]] . Athari zinazosababisha mmomonyoko ni hasa tofutitofauti za halijoto pamoja na maji, upepo na barafu. Wakati wa joto mwamba hupanuka kiasi, wakati wa baridi hujikaza na kwa njia hii hutokea ufa ndani yake. Hapa maji yanaweza kuingia na kuganda kuwa [[barafu]] wakati wa baridi yakizidi kupanusha ufa na kuvunja mwamba polepole.
 
=== Milima mirefu duniani ===