Mlima : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 20:
Milima huwa na historia inayoweza kutazamiwa kama maisha ya mlima. Milima hutokea kutokana na miendo ndani ya [[ganda la dunia]].
 
[[Mabamba ya gandunia]] husukumana na kusababisha kukunjashinilizo linalosababisha ufa kubwa kwa sehemu fulani. Baada ya kuvunjwa kwa sehemu kubwa ya mwamba mwendo wa ganda la dunia unaweza kusukuma kipande kimoja juu,.
 
[[Milima kunjamano]] kama [[Himalaya]] katika [[Asia]], [[Alpi]] za [[Ulaya]] au [[milima ya Atlas|Atlas]] ya [[Afrika ya Kaskazini]] ilitokea pale ambako mabamba mawili ya gandunia kukutana na kugongana.