Tofauti kati ya marekesbisho "Mlima"

189 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Kilimanjaro 2006-08-13.JPG|thumb|300px|[[Mlima Kilimanjaro]] unavyoonekana kutoka [[Moshi (mji)|Moshi]]]]
[[Picha:Denali Mt McKinley.jpg|thumb|300px||[[Mlima Denali]] jimboni [[Alaska]] ([[USA]]).]]
'''Mlima''' ni sehemu ya uso wa [[dunia]] iliyoinuka sana juu ya [[mazingira]] yake. Mifano katika [[Afrika]] ni [[Mlima Kilimanjaro]] auna [[Mlima Kenya]].
 
'''Mlima''' ni sehemu ya uso wa dunia iliyoinuka sana juu ya mazingira yake. Mifano katika [[Afrika]] ni [[Mlima Kilimanjaro]] au [[Mlima Kenya]].
 
== Kilele na vilele ==
Kwa kawaida mlima huwa na [[kilele]] kimoja au zaidi; kwa mfano Kilimanjaro huwa na vilele vitatu vya [[Kibo]], [[Mawenzi]] na [[Shira]]. Kama mlima ni panampana sana vilele vyake vinaweza kuitwa mlima kila mmoja; kama mwiinukomwinuko fulani hutazamiwahutazamwa kama mlima wa pekee au kama kilele kimojawapo hutegemea nan uzoefu. Wakati mwingine Kibo hutajwa kama "mlima" si kama kilele cha Kilimanjaro pekee, halafu kwa maanaumaana huu Kilimanjaro si mlima mmoja bali [[safu ya milima|safu ndogo ya milima]].
 
== Milima mikubwa, milima midogo ==
Kama mlima unatazamiwaunatazamwa kama mrefu au la hutegemea mazingira yake. Katika nchi [[tambarare]] kabisa hata miinuko midogo ya [[mita]] 100 inaweza kuitwa "mlima". Katika eneo penyelenye milima mingi na mirefu mwiinukomwinuko wa mita 1000 mara nyingi hukubaliwa kama mlima kwa sabau ni mdogo kulingana na milima mikubwa.
 
[[Lugha]] nyingi zinatofautisha kati ya milima mikubwa na midogo au vilima, kwa mfano [[Kiingereza]] kwa maneno kama "mountain" na "hill". Lakini hata hapa hutegemea mazingira kama sehemu fulani huitwa hill au mountain. [[Uingereza]] huwa na [[sheria]] inayoita kila sehemu juu ya mita 600 "mlima".
 
[[Urefu]] wa mlima hutajwa kitaalamu kwa "mita juu ya [[uwiano wa bahari]]". Hata hivyo mlima unaweza kuonekana mdogo kiasi kama mazingira yake ni vyanda[[nyanda za juu]] na mwiinukomwinuko wake juu ya nyadanyanda za juu si mrefu sana; kinyume chake hata mlima mdogo kiasi unaweza kuonekana mkubwa kabisa kama mazingira yekayake ni yote tambarare karibu na uwiano wa bahari.
 
== Milima na maisha ==
Milima huwa muhimu kwa [[ekolojia]] ya [[uhai]] na [[maisha]] ya kibinadamu[[binadamu]] kwa sababu milima ni mahali pa [[mvua]] nyingi kushinda mazingira. [[Mito]] mingi duniani inaanza milimani na hupeleka [[maji]] kutoka huko kwenda tambarare na [[bonde|mabonde]].
 
== KuzaliwaKutokea na kupotea kwa milima ==
Milima huwa na [[historia]] inayoweza kutazamiwakutazamwa kama maisha ya mlima. Milima hutokea kutokana na miendo ndani ya [[ganda la dunia]].
 
[[Mabamba ya gandunia]] husukumana na kusababisha shinilizoshinikizo linalosababisha [[ufa]] kubwamkubwa kwa sehemu fulani. Baada ya kuvunjwa kwa sehemu kubwa ya [[mwamba]] mwendo wa ganda la dunia unaweza kusukuma kipande kimoja juu.
 
[[Milima kunjamano]] kama [[Himalaya]] katika [[Asia]], [[Alpi]] zaya [[Ulaya]] au [[milima ya Atlas|Atlas]] ya [[Afrika ya Kaskazini]] ilitokea pale ambakoambapo mabamba mawili ya gandunia kukutanayalikutana na kugongana.
 
Miendo ya [[gandunia]] husababisha pia kutokea kwa milima [[Bahari|baharini]] inayoweza kutokeakutokeza juu ya uso wa maji kama [[visiwa]]. Milima iliyotokea kutokana na kukunjwa mara nyingi huonekana kama safu ndefu ya milima.
 
Njia nyingine ya kutokea kwa milima ni [[volkeno]]. HapaHapo [[magma]] (mwamba moto ulioyeyuka) inapanda kutoka [[koti ya dunia]] inakuta [[njia]] kupitia nafasi katika ganda la dunia na kufika usoni kwa umbo la [[zaha (lava)]]. Hapa zaha inaganda kuwa [[mwamba]] imara. Kama akiba ya magma chini ya [[volkeno]] ni kubwa inaendelea kupanda juu na kutoka kwenye [[kasoko]] yaza volkeno. Inapanda juu ya zaha iliyoganda tayari na kwa njia hii volkeno inazidi kukua. Volkeno kubwa Afrika ni Kilimanjaro.
 
Baada ya kutokea milima inaendelea kupungua polepole kutokana na miamba kuvunjika na kusagwa kwa njia ya [[mmomonyoko]] . Athari zinazosababisha mmomonyoko ni hasa tofauti za [[halijoto]] pamoja na maji, [[upepo]] na [[barafu]]. Wakati wa [[joto]] mwamba hupanuka kiasi, wakati wa [[baridi]] hujikaza na kwa njia hii hutokea ufa ndani yake. HapaHapo maji yanaweza kuingia na kuganda kuwa [[barafu]] wakati wa baridi yakizidi kupanushakupanua ufa na kuvunja mwamba polepole.
Volkeno kubwa Afrika ni Kilimanjaro.
 
Baada ya kutokea milima inaendelea kupungua polepole kutokana na miamba kuvunjika na kusagwa kwa njia ya [[mmomonyoko]] . Athari zinazosababisha mmomonyoko ni hasa tofauti za halijoto pamoja na maji, upepo na barafu. Wakati wa joto mwamba hupanuka kiasi, wakati wa baridi hujikaza na kwa njia hii hutokea ufa ndani yake. Hapa maji yanaweza kuingia na kuganda kuwa [[barafu]] wakati wa baridi yakizidi kupanusha ufa na kuvunja mwamba polepole.
 
=== Milima mirefu duniani ===
Mlima mrefu unaojulikana kabisa uko nje ya [[dunia]] kwenye [[sayari]] [[Mirihi]]: unaitwa Olympus Mons na kuwa na urefu wa [[kilomita]] 27.
 
Mlima mrefu juu ya uso wa dunia huitwa [[Mount Everest]] (mita 8,848m848) uko mpakani mwa nchi ya [[Nepal]] na [[Tibet]] ([[China]]) katika [[Asia]].
 
Lakini mlima mrefu kabisa ni [[Mauna Kea]] katika [[fungovisiwafunguvisiwa]] ya [[Hawaii]]. Unaonekana kama mlima mrefu wa Hawaii unaofikia mita 4,214 juu ya UB, lakini ukitazamiwaukitazamwa kutoka chanzo chake unapoanza kuinuliwa juu ya mazingira yake chini ya bahari kilele chake kipo mita 10,205 mita juu ya mazingira tambarare yaliyoko chini ya bahari.
 
Milima mirefu ya bara ni kama zifuatazo:
* [[Afrika]]: [[Mlima Kilimanjaro]] (mita 5,963m963) nchini [[Tanzania]]
* [[Amerika ya Kaskazini]] : [[Mount McKinley]] (mita 6,194m194) [[Jimbo|jimboni]] [[Alaska]] (USA)
* [[Amerika ya Kusini]] : [[Aconcagua]] (mita 6,962m962) nchini [[Argentina]]
* [[Australia na Pasifiki]]: [[Puncak Jaya]] (mita 5,030m030) mpakani wamwa nchi za [[Papua New Guinea]] na [[Indonesia]]
* [[Ulaya]] : [[Elbrus]] (mita 5,633m633) nchini [[Russia]]
* [[Bara la Antaktiki]] : [[Vinsin Massiff]] (mita 5,140m140)
 
==Picha==
<gallery>
Image:Satellitenaufnahme der Alpen.jpg|Safu ya [[Alpi]] katika Ulaya, picha ya [[chombo cha angani]]
Image:Westpeak.jpg|Milima ya Olympic Mountains, jimbo la [[Washington]] ([[Marekani]])
</gallery>
==Viungo vya nje==
{{commonscat|Mountains|Milima}}
 
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Milima| ]]