Andes : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
+kiungo |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Nasa anden.jpg|thumb|Safu za milima ya Andes zinavyoonekana kutoka angani]]
'''Andes''' ni safu ya [[milima kunjamano]] na safu ndefu kabisa ya [[milima]] [[duniani]].
== Safu za milima na nyanda za juu ==
Ndani ya Andes kuna hasa safu [[mbili]] zinazokwenda sambamba kandokando lakini kuna pia sehemu ambako safu zimeongezeka kuwa zaidi ya mbili. Hizi safu kuiu ni "[[Cordillera Oriental]]" (kwa [[Kihispania]] maana yake ni safu ya mashariki) na "[[Cordillera Occidental]]" (safu ya [[magharibi]]); kati ya safu za pembeni kuna ile ya [[Cordillera de la Costa]] (safu ya pwani) nchini Chile. Katika sehemu ya katikati safu hizi zinazunguka [[nyanda za juu]] za [[Altiplano]] za [[Peru]] na [[Bolivia]].
== Nchi za Andes ==
Nchi [[saba]] za Amerika kusini zina sehemu za maeneo yao katika Andes: [[Kolombia]], [[Ekuador]] na [[Venezuela]] katika kaskazini; [[Peru]] na [[Bolivia]] katikati, halafu [[Argentina]] na [[Chile]] katika kusini.
[[Picha:Licancabur.jpg|thumb|right|200px|[[Licancabur]], Bolivia/Chile]]
[[Picha:Llullaillaco.jpg|thumb|right|200px|[[Llullaillaco]], Chile/Argentina]]
[[Picha:Chimborazo from southwest.jpg|thumb|right|200px|[[Chimborazo (volcano)|Chimborazo]], Ecuador]]
[[Picha:Cono de Arita, Salta. (Argentina).jpg|thumb|right|200px|Cono de Arita, Salta ([[Argentina]])]]
Line 17 ⟶ 16:
Mlima mrefu kabisa ni [[Aconcagua]] katika Argentina kwenye mpaka wa Chile ambao ni mlima mrefu wa Amerika yote.
* [[Cerro Mercedario]], m 6.770
* [[Nevado Huascarán]], m 6.768
* [[Cerro Bonete]], m 6.759
* [[Tres Cruces]], m 6.758
* [[Volcán Llullaillaco]], m 6.739
=== Volkeno ===
Andes zina [[volkeno]] nyingi kwa sababu ziko sehemu ya "mviringo wa moto" unaozunguka Pasifiki yote. [[Bamba la Nazca]] linajisukuma chini ya [[bamba]] la Amerika Kusini na kusababisha kukunjwa juu kwa safu za Andes. [[Magma]] hupanda juu kwenye mstari wa kuzama kwa bamba la Nazca hulisha volkeno. Andes ni mahali pa volkeno za kimo kikubwa duniani.
* [[Monte Pissis]], m 6,882
* [[Ojos del Salado]], m 6,864
* [[Llullaillaco]], m 6.723
* [[Nevado Coropuna]], m 6.426
* [[Chimborazo]], m 6.310
* [[Sierra Nevada de Lagunas Bravas]] m 6.127
* [[Uturunco]], m 6.010
* [[Licancabur]], m 5.916
* [[Cotopaxi]], m 5.897
* [[Misti]], m 5.822
* [[Ubinas]], m 5.675
* [[Tungurahua]], m 5.010
* [[Pichincha]], m 4.784
* [[Lanín]], m 3.
* [[Osorno (Vulkan)|Osorno]], m 2.652
* Volkeno nyingi ndogo katika [[Bonde la Volkeno]] - (Peru)
{{mbegu-jio-AmerikaKusini}}
[[Jamii:Milima ya Argentina]]
[[Jamii:Milima ya Bolivia]]
[[Jamii:Milima ya Chile]]
[[Jamii:Milima ya Ekwador]]
[[Jamii:Milima ya Kolombia]]
[[Jamii:Milima ya Peru]]
[[Jamii:Milima ya Venezuela]]
[[Jamii:Milima ya Amerika Kusini]]
[[Jamii:Amerika Kusini]]
|