Simba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 32:
[[Nususpishi]] nyingine zilikuwepo [[Ulaya]] na pia [[Afrika ya kaskazini]] lakini zote zimekwisha kwa sababu waliwindwa vikali.
 
[[Chakula]] chao ni [[nyama]] inayopatikana kwa kuwinda wanyama. Tofauti na paka wengine, simba huishi na kuwinda katika vikundi vyenye wanyama 10-20. Kila kundi lina eneo lake na kuitetea dhidi ya simba wengine. simba jike ndiye anayewinda na baada ya kumkamata mnyama, dume ndiye anayeanza kula na hasa uanza kula viu vya ndani kama vile utumbo, maini, ndipo jike na watoto wanafuata kwa kula.
 
[[Dume]] anafikia [[urefu]] wa [[mwili]] pamoja na [[kichwa]] wa [[sentimita]] 170 hadi 250; [[kimo]] cha mabegani ni [[cm]] 120. Dume mkubwa anaweza kuwa na [[uzito]] wa [[kilogramu]] 225. [[Jike]] ni mdogo wake akiwa na urefu wa 140 hadi 175 cm, kimo cha mabegani cha cm 100 na uzito wa kg 150.