Simba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 41:
 
== Utangulizi ==
Simba ni miongoni mwa wale paka wakubwa wane wa jenasi Panthera, na mmoja wa familia ya Felidae. Kwa kuwa baadhi ya simba dume wanazidi kg 250 kwa uzito, wanakuwa ndio paka wa pili kwa ukubwa baada ya [[tiger]]. [http://en.wikipedia.org/wiki/Lion#cite_note-nowak-3]. Simba wa porini wanapatikana huko nchi za Nusu-Jangwa Sahara katika Afrika na Asia na kwa kiasi kidogo sana huko India, kisha kupotea katika Afrika ya Kaskazini, [[Mashariki ya kati]] na Magharibi mwa Asia nyakati za [[historia]]. Karibu miaka 10,000 iliyopita, simba walikuwa ndio wanyama wa nchi kavu waliotawanyika zaidi baada ya [[binadamu]]. Walipatikana hasa Afrika, Mashariki mwa Ulaya mpaka Asia, na [[Amerika]] kuanzia [[Yukon]] mpaka [[Peru]].
 
Simba huishi kwa wastani wa miaka 10-14 mwituni, huku katika hifadhi huweza hata kufika zaidi ya miaka 20. Mwituni, simba dume ni mara chache kuishi zaidi ya miaka [[kumi]], sababu ya majeraha wanayoyapata kwa kupigana na dume wengine mara kwa mara. [http://en.wikipedia.org/wiki/Lion#cite_note-4] Hupatikana sana katika [[savanna]] na [[nyika]], ingawa pia huweza kukaa kwenye [[misitu]] na [[vichaka]].