Usiku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Replacing Earthlights_dmsp.jpg with File:Earthlights_dmsp_1994–1995.jpg (by CommonsDelinker because: File renamed: File renaming criterion #2: To change from a meaningl
+Picha
Mstari 1:
[[Picha:Earthlights dmsp 1994–1995.jpg|right|thumb|350px|Dunia wakati wa usiku; picha hii imeunganishwa kutokana na picha mbalimbali zilizopigwa na chomboanga. Hali halisi hakuna eneo lote linaloonekana liko gizani wakati mmoja. Nukta nyeupe upande wa kulia ni nuru ya miji wakati wa giza]]
[[Picha:Albuquerque, NM, From Interstate 40, 11 PM-2011 - panoramio.jpg|thumb|left|Kutwa huko [[Albuquerque, New Mexico]]]]
 
'''Usiku''' ni kipindi cha [[siku]] kilichopo kati ya [[machweo]] na [[macheo]] na hasahasa kipindi cha giza kinachotokea baada ya machweo ambako [[mwanga]] wa [[jua]] hauonekani tena [[anga]]ni hadi muda mfupi kabla ya macheo yaani kabla ya jua kuonekana juu ya upeo wa anga.