Usiku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+Picha
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Earthlights dmsp 1994–1995.jpg|right|thumb|350px|Dunia wakati wa usiku; picha hii imeunganishwa kutokana na picha mbalimbali zilizopigwa na chomboanga. Hali halisi hakuna eneo lote linaloonekana liko gizani wakati mmoja. Nukta nyeupe upande wa kulia ni nuru ya miji wakati wa giza.]]
[[Picha:Albuquerque, NM, From Interstate 40, 11 PM-2011 - panoramio.jpg|thumb|leftright|Kutwa huko [[Albuquerque]], [[New Mexico]].]]
'''Usiku''' ni kipindi cha [[siku]] kilichopo kati ya [[machweo]] na [[macheo]] na hasahasa kipindi cha [[giza]] kinachotokea baada ya machweo ambakoambapo [[mwanga]] wa [[jua]] hauonekani tena [[anga]]ni hadi muda mfupi kabla ya macheo yaani kabla ya jua kuonekana juu ya upeo wa anga.
 
Kinyume chake ni [[mchana]].
 
Kutokana na kupoteapotea kwa [[nuru]] ya jua, [[nyota]] zinaonekana usiku (pasipo na ma[[wingu]]).
 
Watu wengi hulala usiku pamoja na [[wanyama]] wengi hulala usiku, lakini kuna wanyama wengine wanaofanya [[shughuli]] zao usiku kama vile [[bundi]], [[popo]] na [[wadudu]] wengi.
 
== Nyakati za usiku ==
Mstari 19:
 
== [[Utamaduni]] ==
Katika tamaduni za [[binadamu]] usiku mara nyingi una maana mbaya kutokana na ma[[tatizo]] ya kutoona vema na [[hofu]] ya vitu visivyoonekana katika kipindi hicho.
 
{{Siku}}
 
==Viungo vya nje==
{{Wiktionary}}