Waluguru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
 
[[Lugha]] yao ni [[Kiluguru]].
 
Upande wa [[dini]], kwa kawaida wale wa wanaoishi mabondeni ni [[Waislamu]] na wale wa milimani ni [[Wakristo]], hasa wa [[Kanisa Katoliki]].siku hizi angalau hata mabondeni pia kuna wakkristo wengi na miliamani pia kuna mchanganyiko.
 
Kuna makundi makubwa mawili ya Waluguru. Makundi hayo ni Waluguru wanaoishi [[Milima|milimani]] na wale wanaoishi [[bonde|mabondeni]].
 
Waluguru wa milimani wanapatikana katika maeneo ya [[Mgeta]], [[Kolero]], baadhi ya maeneo ya Matombo na [[Kiroka]], na pembezoni mwa Milima ya Uluguru hasa ile ya [[Tao la Mashakiri]].
 
Upande wa [[dini]], kwa kawaida wale wa wanaoishi [[bonde|mabondeni]] ni [[Waislamu]] na wale wa [[Milima|milimani]] ni [[Wakristo]], hasa wa [[Kanisa Katoliki]].siku Siku hizi angalau hata mabondeni pia kuna wakkristoWakristo wengi na miliamanimilimani pia kuna mchanganyiko.
 
Waluguru wa milimani ni [[mhanga|wahanga]] wa [[simulizi|masimulizi]] ya "[[mumiani]]" kiasi kwamba mpaka sasa huweza kuwahusisha wageni na hao "mumiani".
Mstari 15:
Waluguru wanapenda kuishi pamoja na kushirikiana. Pia hupenda kunywa [[pombe]] na kushiriki kwenye [[sherehe]] za kimila.
 
[[Utamaduni]] na [[mila]] zao hufahamika sana katika suala la kucheza [[ngoma]] za asili kati ya [[Oktoba]] hadina [[Januari]], hasa wale wanaoishi katika [[kijiji|vijiji]] vya [[Longwe]], [[Temekelo|Tegekelo]], [[Mgata|Mgeta]], [[Kumba]], [[Singisa]], [[Bwakira]], [[Kolero]], [[Nyamighadu]] na vinginevyo vingi.
 
Masuala ya [[jando]] na [[unyago]] yalikuwa ya kawaida sana kabla ya [[miaka ya 1990]]. Hata hivyo, maingiliano ya kijamii na kupanuka kwa [[elimu]] kumefanya shughuli hizo zisipewe [[kipaumbele]] tena.
Mstari 29:
{{DEFAULTSORT:Luguru}}
[[Category:Makabila ya Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Morogoro]]