Fransisko wa Fatima : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|250px|[[Picha halisi ya Lusia Santos (''kushoto'') na binamu zake Fransisco na Yasinta Marto, mwaka 1917.]] Fil...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:51, 10 Februari 2017

Yasinta Marto wa Fatima (11 Juni 1908 - 4 Aprili 1919), ni jina la mmojawapo kati ya watoto watatu waliotokewa na malaika wa amani (1916), halafu na Bikira Maria (1917) kwao Fatima, Ureno, pamoja na binamu yake Lusia Santos na dada yake Yasinta Marto.

Picha halisi ya Lusia Santos (kushoto) na binamu zake Fransisco na Yasinta Marto, mwaka 1917.
Mahali pa Fatima nchini Ureno.
Sanamu iliyotiwa taji ya Bikira Maria ya Fatima katika kikanisa kilichopo mahali pa njozi.

Njozi hizo zilithibitishwa na Kanisa Katoliki kuwa za kuaminika[1], hata ikaanzishwa kumbukumbu ya Bikira Maria wa Fatima katika liturujia kila tarehe ya njozi ya kwanza, 13 Mei.

Fransisko alitangazwa mwenye heri tarehe 13 Mei 2000, pamoja na dada yake mdogo Yasinta.

Tanbihi

  1. Pius XII, Paul VI, John Paul II and Benedict XVI all voiced their acceptance of the supernatural origin of the Fátima events.

Marejeo

Viungo vya nje

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.