Jiometri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Triangle.Right.svg|thumbnail|Jiometria inaweza kukadiriainajulisha ukubwa kwa pembetatu.]]
'''Jiometri''' (pia: '''Jiometria''', kutoka [[Kigiriki]] γεωμετρία ''geometria''; geo- "[[dunia]]", -metron "[[kipimo]]" kwa kupitia [[Kiingereza]] ''geometry'') ni aina ya [[hisabati]] inayochunguza [[ukubwa]], [[mjao]], [[umbo]] na mahali pa [[eneo]] au [[gimba]]. [[Tawi]] la jiometri linalochunguza [[pembetatu]] hasa huitwa [[trigonometria]].
 
Ma[[umbo]] huwa na [[wanda]] (dimensioni) [[mbili]] yakiwa bapa, au wanda tatu kama ni gimba. Kwa mfano [[mraba]], [[pembetatu]] na [[duara]] ni bapa na kuwa na wanda 2 za [[upana]] na [[urefu]]. Kumbe [[tufe]] (kama [[mpira]]) au [[mchemraba]] huwa na wanda 3 za upana, urefu na [[kimo]] (urefu kwenda juu).
Kwa mfano [[mraba]], [[pembetatu]] na [[duara]] ni bapa na kuwa na wanda 2 za [[upana]] na [[urefu]]. Kumbe [[tufe]] (kama [[mpira]]) au [[mchemraba]] huwa na wanda 3 za upana, urefu na [[kimo]] (urefu kwenda juu).
 
== Matumizi ==
Jiometri hutumiwa kupima eneo na [[mzingo]] wa [[umbo bapa]]. Inaweza kupima pia [[mjao]] na eneo la uso wa gimba.
 
Katika [[maisha]] ya kila siku jiometri inasaidia kukadiriakujua vipimo vya vitu vingi kama vile:
* eneo wa uso wa [[chumba]] na hivyo kuamua kiasi cha [[rangi]] inayohitajika kwa kupaka rangi kuta zote.
* [[Mjao]] wa [[chombo]] ili kujua kuna [[lita]] ngapi za [[maji]] ndani yake.
Line 15 ⟶ 14:
 
== Historia ==
[[Chanzo]] cha jiometri kilikuwa [[elimu]] ya kupima ukubwa wa eneo fulani, kwa mfano eneo la mashamba ya [[kijiji]] kwa kusudi la kuigawakuligawa kati ya watu wake.
 
[[Mtaalamu]] wa [[Ugiriki ya Kale]] aliyeitwa [[Euklides]] alitunga [[kitabu]] cha kwanza kinachofahamika kuhusu jiometri.
{{mbegu-hisabati}}
 
===Viungo vya nje==
{{commonscat|geometry}}
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Jiometria|*]]
[[Jamii:Hisabati]]