Neptuni (sayari) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Neptune-visible.jpg|thumb|200px|right|Kausi ilivyopigwa [[picha]] na darubini ya angani ya Hubble I.]]
[[Picha:Neptune, Earth size comparison.jpg|thumb|200px|right|Ulinganifu wa Kausi na [[dunia]]. [[Rangi]] ya [[bluu]] ya sayari ya Neptune hutokana na uwepo wa methane katika tabaka lake la hewa.]]
'''Kausi''' (kwa [[Kiingereza]]: '''Neptune''') ni [[sayari]] mojawapo kubwa katika [[mfumo wa jua]], ya [[nane]] kutoka [[jua]] letu na ya [[nne]] kwa ukubwa wa [[kipenyo]]. Kutokana na ukubwa wake, wanasayansi wameiweka Kausi, pamoja na sayari zingine [[Jupiter]], [[Saturn]] na [[Uranus]] katika kundi la sayari kubwa kabisa zinazofahamika kama [[Jovian planets]].
Kutokana na ukubwa wake, wanasayansi wameiweka Kausi, pamoja na sayari zingine [[Jupiter]], [[Saturn]] na [[Uranus]] katika kundi la sayari kubwa kabisa zinazofahamika kama [[Jovian planets]].
 
Kausi hukaa karibu [[muda]] wote katika umbali ambao haubadiliki kutoka jua, takribani [[kilometa]] [[bilioni]] 4.5 (sawa na [[maili]] bilioni 2.8). [[Obiti]] ya Kausi inakaribia kufikia [[duara]] kamili (obiti nyingi za sayari huwa ni duara paba).
Mstari 7:
[[Wanaanga]] wanaamini kuwa, kwa ndani katikati Kausi imeundwa na [[miamba]] ambayo inazungukwa na kiwango kikubwa cha [[maji]] yaliyochanganyika na vitu vyenye asili ya miamba. Kutoka ndani kabisa, maji hayo yametawanyika kuelekea juu, mpaka ilipokutana na [[tabaka la hewa]] lililoundwa na [[hidrojeni]], [[heli]] na kiwango kidogo cha [[gesi]] ya [[methane]].
 
Kausi ina [[bangili]] nne na [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] [[kumi na mojanne]] inayofahamika hadi sasa. Ingawa [[ujazo]] wa Kausi ni mara 72 kuliko ujazo wa [[dunia]], [[tungamo]] lake ni mara 17 tu kuliko lile la dunia. Hivyo ni sayari nyepesi kulingana na ukubwa wake, na ni nzito kuliko sayari jirani [[Uranus]] lakini ndogo yake.
 
==Ugunduzi na jina==
Sayari hii haikugunduliwa angani, bali ilikuwa ya kwanza kufahamika kama matokeo ya [[Hesabu|mahesabu]]. [[Nadharia]] za kihisabati za [[unajimu]] katika [[karne ya 19]] ndizo zilizopelekea kugundua sayari ya Kausi. [[Mfaransa]] [[Urbain Jean Joseph Leverrier]] mnamo mwaka [[1846]] aliweza kukokotoa uwepo na mahali pa sayari mpya katika [[mfumo wa jua]]. [[Mwanahisabati]] huyo kupitia hesabu zake alishaweza kufanikiwa kutoa baadhi ya [[tabia]] za sayari kabla ya kuthibitisha uwepo wake.
 
Mnajimu mwingine wa Kijerumani, [[Johann Gottfried Galle]], akiendeleza mavumbuzi ya Leverrier aliweza kuiona sayari katika mwaka [[1846]]. Baada ya [[ugunduzi]] wake, Leverrier alipendekeza [[jina]] la [[mungu]] wa [[bahari]] Neptunena [[mito]], [[Neptuni]], kutoka [[heyaka]] za [[Ugiriki wa Kale]] na [[Roma ya kale]], kama jina la sayari mpya. Jina hili liliendelea kutumiwa na wanajimu wa [[karne ya 20]] baada ya kujifunza namna sayari ilivyo na asili ya maji kwa nje.
 
[[Lugha]] nyingi [[duniani]] zimekopa jina hilo kwa sababu [[astronomia]] ya zamani haikujua sayari hiyo hadi kupatikana kwa darubini tu. Kwa [[Kiswahili]] [[vitabu]] kadhaa vinatumia jina ''Kausi''<ref>Wallah, W.B. & Mwamburi, J. Kiswahili mufti darasa la 8: Mwongozo wa mwalimu. Longhorn, 2009. ISBN 99966491066</ref>
<ref>TESSA - Teacher Education in Sub Saharan Africa. [http://tessafrica.net/index.php?option=com_resources&task=fileDownload&sectionId=815&file=Section.pdf&Itemid=193 Nishati na Mwendo: Kutoka Ardhini kenda kwenye nyota – kutumia Zana Kifani]. Available at: www.tessafrica.net</ref>
<ref> Waweru, M.; Makombo, H; Vonuoli, A.; Kashihiri, C.; Mwayani, J.[http://books.google.com/books?id=5duyqogD04wC&lpg=PA266&dq=kiswahili%20mufti%20darasa%20la%20nane&hl=pt-BR&pg=PP1#v=onepage&q=kiswahili%20mufti%20darasa%20la%20nane&f=false Hutua za Kiswahili: Masomo ya Msingi 8]. East African Educational Publishers ltd., 1ed, 290p., 2005. ISBN 9966-25-403-X</ref> kwa kufuata kamusi ya [[KAST]] na sasa pia [[KKK]]; lakini jina hilo halipatikani katika kamusi zote.<ref>[[KKK/ESD]] ya [[TUKI]] inaonyesha Neptuni. Linganisha ukurasa wa [[Majadiliano:Sayari]]</ref>
 
==Kuiangalia sayari==
===Kutoka duniani===
Kausi huwa haionekani kwa urahisi kwa: [[macho]] tu.matupu Huonekanahayawezi kuiona; ni lazima kutumia [[darubini]], na hata hapo huonekana ikiwa imefifia hatakama kisahani chenye [[rangi]] ya buluu-kijani. Rangi hii imetokana na gesi ya [[methani]] inayopatikana kwa kutumiawingi katika [[darubiniangahewa]] yake. Kwa kutumia [[teleskopu]] kubwa, sayari huweza kuonekana kama kaduara kadogo chenye kipenyo cha kama 2.3 arc second. Wanaanga hutumia kipimo cha [[arc second]] kuelezea ukubwa wa vitu katika [[anga la usiku]].
 
===Kutoka angani===
Line 25 ⟶ 29:
 
==Muundo==
[[Maada]] yake ni hasa [[gesi]] iliyoganda. Kwa kiwango kikubwa, Kausi ina [[miamba]] na [[maji]], pamoja na [[hidrojeni]] na [[heli]] (na kiwango kidogo sana cha [[methane]]) katika [[anga]] lake. Wanaanga wanaamini kuwa ilifanyika kutokana na maji yaliyoganda na mwamba uliotoka katika [[asteroidi]] yenye [[barafu]] angani. Kadiri ukubwa wa sayari unavyoongezeka, [[mkandamizo]] na [[jotoridi]] ndani ya sayari huongezeka na kuyeyusha maji yaliyoganda kuwa [[kimiminika]] cha [[moto]].
 
Wanaanga wanaamini pia kuwa sayari ina [[kiini]] [[yabisi]] ambacho si kikubwa kuzidi dunia (kipenyo cha dunia ni km 12,756/mi 7,926) na kina mchanganyiko wa [[chuma]] na [[silicon]]. Kiini cha Kausi kinaweza kuwa kidogo kwa sababu karibu miamba yote inayounda sayari imechanganyikana na maji mengi yaliyosambaa kutoka katika kitovu cha sayari hadi katika tabaka lake la hewa.
Line 39 ⟶ 43:
 
==Eneo kuzunguka sayari==
Kausi ina [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] 14 na [[bangili]] 4 zisizoonekana kwa urahisi.
[[File:Triton moon mosaic Voyager 2 (large).jpg|thumb|200px|left|Mwezi wa Triton kama ulivyopigwa picha na Voyager 2.]]
[[File:Proteus (Voyager 2).jpg|thumb|200px|right|Mwezi wa Proteus kama ulivyopigwa picha na Voyager 2.]]
 
===Bangili zake===
Line 48 ⟶ 51:
 
===Miezi yake===
[[File:Triton moon mosaic Voyager 2 (large).jpg|thumb|200px|left|Mwezi wa Triton kama ulivyopigwa picha na Voyager 2.]]
Miezi (satelaiti) kumi na mmoja inafahamika kuzunguka Kausi. Miezi yote kwa mpangilio kulingana na ukaribu wao kutoka kwenye sayari ni [[Naiad]], [[Thalassa]], [[Despina]], [[Galatea]], [[Larissa]], [[Proteus]], [[Triton]], na [[Nereid]]. Hiyo miwili ya mwisho tu ni mikubwa hata iliweza kuangaliwa moja kwa moja kutoka duniani kabla ya [[miaka ya 1990]]. Mwezi [[Triton]] uligunduliwa mwaka [[1846]] na mnajimu wa [[Uingereza]] [[Williama Lassel]] na [[Nereid]] uligunduliwa mwaka [[1949]] na mnajimu [[Gerard Kuiper]]. Miezi mingine mitatu ni midogo sana na iko mbali sana kutoka Kausi na wanaanga wanafahamu kidogo sana juu yake.
[[File:Proteus (Voyager 2).jpg|thumb|200px|right|Mwezi wa Proteus kama ulivyopigwa picha na Voyager 2.]]
Miezi (satelaiti) kumi na mmojanne inafahamika kuzunguka Kausi. Miezi yote kwa mpangilio kulingana nawa ukaribu waowake kutoka kwenyena sayari ni [[Naiad]], [[Thalassa]], [[Despina]], [[Galatea]], [[Larissa]], [[Proteus]], [[Triton]], na [[Nereid]]. Hiyo miwili ya mwisho tu ni mikubwa hata iliweza kuangaliwa moja kwa moja kutoka duniani kabla ya [[miaka ya 1990]]. Mwezi mkubwa, unaoitwa [[Triton]] na kwa ukubwa hulingana na mwezi wa dunia yetu, uligunduliwa mwaka [[1846]] na mnajimu wa [[Uingereza]] [[Williama Lassel]] na [[Nereid]] uligunduliwa mwaka [[1949]] na mnajimu [[Gerard Kuiper]]. Miezi mingine mitatu ni midogo sana na iko mbali sana kutoka Kausi na wanaanga wanafahamu kidogo sana juu yake.
Mwezi huitwa [[Triton]] na .
 
==Tazama pia==
* [[Mfumo wa jua]]
* [[Sayari]]
 
== Tanbihi ==
<references/>
 
==Marejeo==
Line 67 ⟶ 76:
* [http://en.wikipedia.org/wiki/Neptune Neptune katika wikipedia ya Kiingereza]
* [http://www.solarviews.com/span/voyager.htm Voyager]
 
{{mbegu-sayansi}}
{{mfumo wa jua na sayari zake}}
 
[[Jamii:Sayari]]