Tano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Evolution5glyph.png|x50px|thumb|right|Mabadiliko katika kuandika tano.]]
'''Tano''' ni [[namba]] ambayo inafuata [[nne]] na kutangulia [[sita]]. Kwa kawaida inaandikwa '''5''' lakini '''V''' kwa [[namba za Kiroma]] na <big><big>٥</big></big> kwa [[Namba za Kiarabu|zile za Kiarabu]].
 
'''5''' ni [[namba tasa]].
 
Neno hilo lina asili ya [[Kibantu]]. [[Kiswahili]] kina neno lingine kwa maana hiyohiyo, nalo lina asili ya [[Kiarabu]]: hamsa. Siku hizi halitumiki sana, lakini kutoka kwake limepatikana [[hamsini]] (hamsa mara [[kumi (namba)|kumi]]) ambalo ni la kawaida.