Neptuni (kisasili) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{maana nyingine|Neptuni (elementi)}}
'''Neptuni''' alisadikiwa na [[Mtu|watu]] wa [[Roma ya Kale]] kuwa [[mungu]] mmojawapo (kwa [[Kilatini]] "Neptunus") aliyetawala [[bahari]] na [[mito]].
 
[[Lugha]] nyingi [[duniani]] zimekopa [[jina]] hilo kwa ajili ya [[sayari]] ya [[nane]] kutoka [[jua]], kwa sababu katika tamaduni mbalimbali [[astronomia]] ya zamani haikujua [[sayari]] hiyo iliyojulikana tangu kupatikana kwa [[darubini]] tu, hivyo hazikuwa na jina kwa ajili yake. Kwa [[Kiswahili]], sayari hiyo siku hizi inaitwa [[Kausi]].
 
[[Jamii:Roma ya Kale]]