Wasukuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Jina: faida hassan
Mstari 3:
 
==Jina==
Jina "Wasukuma" lina maana ya watu wa upande wasukuma katika dira ya dunia ya wasukuma lakini kwa kiswahili tunaita "[[kaskazini]]", lakini maana hii haiwakilishi maana halisi ambayo watu wengi huitafsiri kwa mfano Wasukuma hutumia alama ya utambulisho ([[dira]]) kwa eneo fulani kwa viashirio vya makabila, kwa mfano wa jina kama hili: ''Kiya''. Hili lina maana ya [[mashariki]] ambako ni [[maawio]] ya [[jua]]. Huu ni utambulisho ambao haukufananishwa ama kuitwa kwa jina la kabila fulani. Mfano mwingine ni upande wa "Dakama" ambapo yatambulisha kama eneo la Unyamwezi lakini zaidi ya mpanuko wake ni upande wa "kusini". Zaidi ya hapo neno hili hutumiwa sana na kabila la [[Wanyamwezi]] ili kutambulisha eneo la Wasukuma ambapo Wasukuma nao husema "dakama". Upande mwingine ambao unapewa alama ya utambulisho ni "Ushashi" maana yake ni upande wa kabila la [[Washashi]] na neno hili Washashi ni mkusanyiko wa makabila ya [[mkoa wa mara]], japo pia neno hili "shahi" linamaanisha kabila la [[Wakurya]] ambalo pia mpanuko wake unakomea hapo, ambapo zaidi ya hapo eneo zima la upande huo unamaanisha upande wa kaskazini. Upande wa mwisho kutambulishwa ni "Ngw’eli", neno hili halikupewa kabila na badala yake linawakilisha upande wa magharibi (dira), ambako ni [[machweo]] ya jua. "Wasukuma wenyewe hulirejea jina hili kama "Basuguma" kwa wingi na "Nsuguma" kwa umoja.
 
==Eneo==