Wamasoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 14:
==Asili ya Wamasoni==
Asili ya Wamasoni ilikuwa katika [[jumuiya]] ya [[waashi]] yaani ma[[fundi]] waliojenga makanisa makubwa ya [[Ulaya]] wakati wa [[zama za kati]]. Wakati ule mafundi wa [[fani]] mbalimbali walipaswa kuwa wanachama wa jumuiya ya [[ufundi]] wao. Jumuiya hizo zilitunza [[elimu]] yao kama siri na wanachama walipaswa kuahidi kutunza siri za ufundi wao pamoja na siri za jumuiya. Wote walitakiwa kusaidiana.
[[File:Freimaurer Initiation.jpg|thumb|alt=Masonic initiation, Paris, 1745|Mkutano wa wamasoi Wamasoni, Paris, 1745.]]
Wakati wa kupokelewa, mwanachama mpya alitoa [[kiapo]] kilichofuatwa na viapo vingine baada ya kupanda ngazi katika ufundi wake.