Ray Steadman-Allen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 952725 lililoandikwa na 92.14.195.221 (Majadiliano)
Mstari 11:
 
== Kazi katika Muziki ==
Muziki yakewake ilisemekana kama kuwa mbele ya muda yaani ni kama ilkuwa ya wakati ujao hadi wakati mwingine ilikuwa haikubaliki kwa wasikilizaji.Kwa mfano wimbo wake ''Lord of the Sea'' ulileta mgogoro mkubwa. Ubunifu wake ,kwa kweli,ulikuwa umetoka kwa Mungu na huo ndio ulifanya muziki ya Jeshi la Wokovu kuendelea mbele katika miaka iliyofuata,hasa wakati Idara ya Kimataifa ya Uhariri wa Muziki ilipokuwa chini ya uongozi wake katika miaka ya 1967-1980.
 
Yeye,mara kwa mara, alishiriki kama Kiongozi wa Bendi katika kipindi maarufu cha ''Sounding Brass'' kilichowasilishwa na Gloria Hunniford na Owen Spencer-Thomas katika Radio 2 na Radio London katika miaka ya 1970.