Mfumo wa neva : Tofauti kati ya masahihisho

123 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
neva za mwilini
No edit summary
neva za mwilini
Mstari 4:
Kwa mara ya kwanza [[tishu]] za [[neva]] zilitokea katika [[wadudu]] wa [[jamii]] ya [[minyoo]] ([[Ediacara biota]]) miaka milioni 550 hadi 600 hivi iliyopita.
 
[[Spishi]] nyingi za wanyama zina sehemu kuu mbili, sehemu ya kati ya neva na sehemu ya pembeni. Sehemu ya kati ya neva inajumuisha [[ubongo]] na [[mrija]] wa [[uti wa mgongo]] na sehemu ya pembeni inajumuisha neva zilizofungwa kwenye [[kambabando]] zilizounganishwa kwenye sehemu ya kati ya neva na sehemu nyingine za mwili.Sehemu ya kati ya neva hupeleka taarifa kutoka kwenye chanzo cha taarifa kupitia uti wa mgongo mpaka kwenye neva za ubongo.
 
{{mbegu-anatomia}}