Henry VIII wa Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'image:Workshop of Hans Holbein the Younger - Portrait of Henry VIII - Google Art Project.jpg|thumb|200px|Mfalme Henri VIII alivyochorwa na [[Hans Holbein the...' |
No edit summary |
||
Mstari 2:
'''Henry VIII''' ([[28 Juni]] [[1491]] – [[28 Januari]] [[1547]]) alikuwa [[mfalme]] wa [[Uingereza]] kuanzia tarehe [[21 Aprili]] [[1509]] hadi [[kifo]] chake. Ni wa pili kutoka [[nasaba ya Tudor]], akimfuata [[baba]] yake, [[Henry VII]].
==Maisha na matukio==
Henry anajulikana hasa kwa [[Ndoa|kuoa]] [[wanawake]] [[sita]], mmoja baada ya mwingine, na hasa kwa juhudi zake za kubatilisha ndoa yake ya kwanza na [[
Katika masuala ya ndani, Henry alijulikana kwa kubadilisha sana [[katiba]] ya nchi, akizidisha [[mamlaka]] yake mwenyewe. Waliopinga walishutumiwa kama wasaliti na mara nyingi kuhukumiwa [[adhabu ya kifo]], akiwemo [[waziri mkuu]] [[Thomas More]].
Line 10 ⟶ 11:
Aliunganisha Uingereza na [[Wales]] akawa pia mfalme wa kwanza wa Uingereza kushika nafasi ya mfalme wa [[Ireland]].
Mwanzoni wengi walipendezwa naye<ref>{{harvnb|Guy|2000|p=41}}.</ref>, lakini baadaye alizidi kunenepa, [[afya]] yake ilitetereka, na hata nafsi yake ilivurugika na kumfanya mzinzi, mkatili, mwoga.<ref>{{harvnb|Ives|2006|pp=28–36}}</ref>
Baada yake alitawala [[Mwana|mwanae]] [[Edward VI]].
== Tanbihi ==
{{Reflist|20em}}
==
{{refbegin|30em}}
*{{cite book |last=Arnold |first=Thomas |year= 2001 |title=The Renaissance at War |publisher=Cassell & Co. |location= London |isbn= 0-304-35270-5 |url= |ref=harv}}
|