Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni moved page Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula to Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula over redirect: Herufi ndogo zinafaa zaidi
No edit summary
Mstari 12:
== Mmeng’enyo Kinywani ==
 
Kinywa ni sehemu ya kwanza kupokea chakula. Chakula kinapokuwa mdomoni huvunjwavunjwa na kusagwa na [[meno]] au kwa lugha nyingine husagwa kimekanika. Mate husaidia kukilainisha. [[Ulimi]] husaidia kugeuzageuza chakula hicho na kukiviringisha kuwa tonge.
 
=== Meno ===
Mstari 23:
* Maji yaliyo katika mate hutumika katika kuyeyusha chakula.
* Uteute wake hulainisha chakula hivyo chakula huwa rahisi kumezwa.
* Kimeng’enyo chake ([[ptyalin]])au [[salivary amylase]] hubadili [[wanga]]/[[kabohaidreti]] kuwa sukari rahisi (''maltose'').
 
=== Ulimi ===
Mstari 32:
 
Chakula huhifadhiwa katika [[mfuko wa tumbo]]. Mfuko huo una uwezo wa kupanuka wakati unapopokea chakula na kusinyaa unapokuwa hauna chakula. Chakula huwa katika tumbo mwa muda wa saa tatu hadi nne. Muda huu hutegemea aina ya chakula. Chakula cha [[kabohaidreti]], kwa mfano [[uji wa mahindi]], huwa tumboni kwa muda usiozidi saa moja. Chakula cha [[protini]] kwa mfano [[nyama]], huweza kuwa tumboni kwa muda wa saa moja au mbili.
Katika mfuko wa tumbo, kuta za tumbo zina tezi (''gastric glands'') zitoazo misusumo ya gastriki (''gastric juice'') ambayo huwa na [[asidi ya haidrokloriki]], uteute na kimeng’enya. Vimeng’enya vinavyotolewa tumboni ni ''[[pepsinogen]]'' na, ''[[prorennin]]''., [[renin]]
 
=== Asidi ya Haidrokloriki ===
 
Asidi ya haidrokloriki(HCL) husaidia kufanya mambo yafuatayo tumboni:
* Husaidia kuweka mazingira ya asidi ili vimeng’enya vya tumbo viweze kufanya kazi. Vimeng’enya vya tumboni hufanya umeng’enyaji kwa ufanisi katika hali ya uasidi.
* Huvunja sukari tata (complex sugar) kuwa sukari rahisi.