Ingeborg Schwenzer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 39:
 
==== CISG-online.ch ====
Mpaka kustaafu kwake kwa mawaka 2017 Schwenzer anaendesha mtandao wenye taarifa za kina kuhusu kesi muhimu kuhusu CISG. Mtandao huu umeenea kwenye nchi zinazoongea lugha<ref>{{cite web|url=http://www.globalsaleslaw.org/index.cfm?pageID=704|title=Overview - Global Sales Law Project - Deutsch - A Comparison of the CISG, International and Nationals Sales Laws|publisher=Globalsaleslaw.org|date=|accessdate=2013-08-11}}</ref> ya kijerumani. Mtandao huu ulianzishwa mwaka 1995 na Peter Schlechtriem katika Chuo Kikuu cha Freiburg i. Br. Tangu mwaka 2002 ilikuwa unasimamiwa  na Schwenzer katika Chuo Kikuu cha Basel tangu mwaka 1995 hadi mwaka 2015.
 
==== Willem C. Vis International Commercial Arbitration Moot ====
Mstari 45:
 
=== Model Family Code ===
Kwenye mwaka 2006, Schwenzer aliaandaa rasimu ya kuunganisha sheria za familia, inayoitwa the Model Family Code1Code<ref>{{cite web|url=http://d-nb.info/981245560|title=Model Family Code : Form a global perspective / Ingeborg Schwenzer|language=de|publisher=//d-nb.info|date=|accessdate=2013-08-11}}</ref>, kwa kushirikiana na [[:en:Mariel_Dimsey|Mariel Dimsey]]. Ulinganifu wa kina kwenye sheria za familia za Ulaya, Amerika na Oceania ndio ulioweka msingi wa kuandaa Model Family Code . Faida ya Model Family Code na sheria za kifamilia za nchi zingine ni kwamba inajumuisha mambo muhimu katika sheria za kifamilia. Aidha, Model Family Code inaruhusu kuzingatia masuala ya utamaduni katika sheria za kifamilia.
 
SiLS-Swiss International Law School
Mstari 52:
 
== Machapisho muhimu na Uhariri ==
Kwa mujibu wa orodha ya machapisho ya  Schwenzer iliyotolewa (kama ya Februari 2017), <supref>[7https://www.ingeborgschwenzer.com/publications Publications Ingeborg Schwenzer]</supref>, Schwenzer ametoa machapisho binafsi 17, ama haridi zaidi ya vitabu 40, na kuandikwa makala zaidi ya 200 na michango ya fafanuzi.
 
<nowiki>https://www.ingeborgschwenzer.com/publications</nowiki>