Ingeborg Schwenzer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Ingeborg Schwenzer''' (aliyezaliwa tarehe 25 Oktoba 1951 jijini [[Stuttgart]], [[Ujerumani]]) ni msomi wa [[sheria]] wa kijerumani na [[profesa]] wa sheria za ulinganifu katika Chuo Kikuu cha Basel, [[:en:Switzerland|Switzerland]].
 
== Maelezo Binafsi (Curriculum Vitae) ==
Mstari 33:
 
==== Sheria za mauzo ulimwenguni na Sheria za mikataba ====
Kiini cha mradi huu ni kijitabu kinachoitwa ''Global Sales and Contract Law (GSCL)''<ref>http://lccn.loc.gov/2011939853</ref>, ambacho Schwenzer aliandika kwa kushirikiana na Pascal Hachem na Christopher Kee. Kijitabu hiki kinalinganisha sheria zinazosimamia mauzo na mikataba katika zaidi ya nchi 60. Waandishi wa kitabu hiki walitumia maandiko ya shahada za uzamivu za Mohamed Hafez (Uarabuni na Mashariki ya Kati), Natia Lapiashvili (Ulaya Mashariki na Asia ya Kati), Edgardo Muñoz (Amerika ya Kilatini), Jean-Alain Penda Matipe (Kusini ya Jangwa la Sahara), na Sophia Juan Yang (Asia ya Kusini Mashariki).Kila andiko lilihusu ulinganifu wa mfumo wa sheria wa aina moja ya na zilisimamiwa na Schwenzer.
 
==== Maoni kwenye jarida la CISG ====
Schwenzer anahariri jarida linaloongoza kutoa maoni juu ya the [[:en:CISG|UN Convention on Contracts for the International Sale of Goods (CISG)]]. Jarida hili lilichapishwa kwenye lugha ya Kijerumani (Toleo la 6 mwaka 2013)<ref>http://d-nb.info/989417662</ref>, Kiingeleza (Toleo la 4 mwaka 2016)<ref>http://d-nb.info/999239821</ref>, <sup>[3]</sup>Kispaniola (mwaka 2011)<ref>http://www.worldcat.org/title/schlechtriem-schwenzer-comentario-sobre-la-convencion-de-las-naciones-unidas-sobre-los-contratos-de-compraventa-internacional-de-mercaderias/oclc/754653801&referer=brief_results</ref>. Kireno (2014), Kituriki (2015), kifaransa, kichina, kirusi na matoleo zaidi zinaendelea.
 
==== CISG-online.ch ====
Mstari 42:
 
==== Willem C. Vis International Commercial Arbitration Moot ====
Tangu kuanza kwa mashindano ya usuluhishi ya [[:en:Willem_C._Vis_Moot|Willem C. Vis Moot]] mwaka 1994, Schwenzer amekuwa akishiriki kwenye nafasi ya msuluhishi katika mashindano haya ambayo hufanyika Vienna kila mwaka na ambayo ni mashindano makubwa ya aina hii duniani. Tangu mwaka 2004 ameshiriki pia kama msuluhishi kwenye mashindano ya [[:en:Willem_C._Vis_Moot#Vis_Moot_.28East.29.2C_Hong_Kong|Willem C. Vis East Moot]] yanayofanyikia Hong Kong. Aidha, tangu mwaka 1995 amekuwa anaandaa timu ya Chuo Kikuu cha Basel kwenye mashindano ya Vis.
 
=== Model Family Code ===
Mstari 49:
SiLS-Swiss International Law School
 
Schewenzer ni Mkuu wa [https://www.swissintlawschool.org/ Swiss International Law School (SiLS)], binafsi mtandao msingi shule ya sheria sadaka mpango LL.M
 
== Machapisho muhimu na Uhariri ==
Kwa mujibu wa orodha ya machapisho ya  Schwenzer iliyotolewa (kama ya Februari 2017)<ref>[https://www.ingeborgschwenzer.com/publications Publications Ingeborg Schwenzer]</ref>, Schwenzer ametoa machapisho binafsi 17, ama haridi zaidi ya vitabu 40, na kuandikwa makala zaidi ya 200 na michango ya fafanuzi.
 
<nowiki>Kina orodha ya machapisho: https://www.ingeborgschwenzer.com/publications</nowiki>
 
== Uanachama katika jumuiya mbalimbali ==