Shahada (Uislamu) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 74 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q41831 (translate me)
dNo edit summary
 
Mstari 5:
'''Shahada''' ni ungamo wa imani ya [[uislamu|Kiislamu]].
 
Tamko hili lina maneno yafuatayo: '''لا إله إلا الله محمد رسول الله''' ([[Kiarabu]]: Lā ilāhā illā-llāhu; muhammadun rasūlu-llāhi). Maana yake ni: "Hakuna mungu ila Allah; Muhammad ni mtume wa Allah". Katika sala maneno haya huanzishwa kwa "أشهد أن‎" (''ash-hadu an'' yaani: Nakiri kwamba...).
 
Kwa maneno haya Mwislamu hutamka kuwa