Kilimia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Kilimia katika mapokeo ya tamaduni mbalimbali: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ar}} using AWB (10903)
+chanzo
Mstari 1:
[[Picha:Pleiades-comet-Machholz.jpeg|350px|thumb|Picha ya Kilimia angani wakati nyotamkia inapita mwaka 2005]]
'''Kilimia''' (pia: '''thuria''' kutokana na [[Kar.]] "ثریا"; [[ing.]] - [[gir.]] ''Pleiades'') ni [[fungunyota]] katika [[kundi la nyota]] la [[Taurus (fahali)]]. Jina la kisayansi ni '''"M45"''' (katika [[orodha ya Messier]]).
 
Line 6 ⟶ 7:
== Ishara ya mvua ==
Fungunyota hii inaonekana vizuri kabisa kwa macho. Inaanza kuonekana angani masaa ya mwanzo wa usiku katika miezi kuanzia Oktoba. Hivyo kuonekana kwake imechukuliwa na wazee katika Afrika Mashariki kama kalenda ya kuandaa mashamba na kilimo kwa sababu mvua umekaribia. Hii ni sababu ya kupewa jina la "kilimia" kutokana na "kulima, kilimo".
 
Methali ifuatayo yadokeza uhusiano huu kati ya kuonekana kwa kilimia na mvua: "Kilimia kikizama kwa jua huzuka kwa mvua, kikizama kwa mvua huzuka kwa jua."
 
Waswahili walitumia pia jina la kiarabu la "thuria" (ثریا).
Line 16 ⟶ 15:
Kwa lugha nyingi kilimia huitwa kwa jina kama "nyota saba" kwa sababu ni takriban nyota 6 hadi saba zinazoonekana vizuri kwa macho. Mtu mwenye macho mazuri sana ataona hata 9 hadi 14.
 
Wazee wa [[Afrika ya Mashariki]] walikitazama na kuielewa kama ishara ya hali ya hewa hasa mvua wakatunga [[methali]] "Kilimia kikizama kwa jua huzuka kwa mvua, kikizama kwa mvua huzuka kwa jua"<ref>[https://books.google.de/books?id=4I0g07T4RyAC&pg=PA116&lpg=PA116&dq=Kilimia+kikizama+kwa+jua+huzuka+kwa+mvua,+kikizama+kwa+mvua+huzuka+kwa+jua%22.&source=bl&ots=_JKlIFn2H6&sig=dZVaDw6jRtMR1SrtYxE9x4dr_n4&hl=de&sa=X&ved=0ahUKEwi2uby-p5DSAhWB6CwKHS98C2YQ6AEIRTAF#v=onepage&q=Kilimia%20kikizama%20kwa%20jua%20huzuka%20kwa%20mvua%2C%20kikizama%20kwa%20mvua%20huzuka%20kwa%20jua%22.&f=false Kamusi ya methali za Kiswahili, Ahmed E. Ndalu, Kitula G. King'ei]uk. 116, methali no. 778 & 779, East African Publishers, 1989 (kupitia google books, iliangaliwa Fenruari 2017</ref>.
 
Kilimia ni pamoja na [[Orioni]] kati ya makundi ya nyota yanayotajwa mara kadhaa katika [[Biblia]] ([[Ayubu]] 9:9 na 38:31; [[Amosi]] 5:8).
Line 23 ⟶ 22:
 
[[Wagiriki wa Kale]] walikiita "Pleiadi" na kusimulia hadithi ya mabinti saba wazuri waliopelekwa angani na mungu [[Zeus]] ili kuwalinda dhidi ya tamaa za mvindaji Orion. Miaka 2500 iliyopita ilionekana Ugiriki jioni wakati wa Mei hivyo ilikuwa ishara ya kuanza mavuno. Kuzama wakati ule mwezi wa Novemba kulikuwa ishara ya kulima mashamba kabla ya baridi.
 
==Marejeo==
<references/>
 
{{mbegu-sayansi}}