Mfumo wa Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 9:
 
== Sayari za jua letu ==
Sayari ambazo zipo katika mfumo wa jua ni kama zifuatazo:
 
[[Namba]] zote zinazotaja sifa mbalimbali za sayari zinaonyesha [[kipimo]] kulingana na [[tabia]] za dunia yetu kuwa "1". Kuhusu ma[[jina]] ya sayari kadhaa kuna mchanganyiko katika kamusi na vitabu. Pale ambako jina au [[umbo]] tofauti la jina ni la kawaida linaonyeshwa katika ma[[bano]] kama (jina). Majina yanayotumiwa katika vitabu kadhaa, hasa vya [[shule ya msingi|shule za msingi]], bila kuwa na uhakika yanaonyeshwa katika mabano ya [[italiki]] pamoja na [[alama ya swali]] kama ''(? jina)''. <ref>Linganisha ukurasa wa [[majadiliano:sayari]]</ref>