Tofauti kati ya marekesbisho "Krioli"

112 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
Krioli ni [[lugha]] inayotokana na matumizi ya [[pijini]] kwa muda mrefu. Lugha hii huwa na miundo changamano. Pia inayo msamiati mwingi kutoka lugha mbalimbali jambo linaloitofautisha pakubwa na lugha asilia.Yaani ni pijini iliyokua na kupata wasemaji wake asilia.Hivyo basi hapawezi kuwa na kriori pasipokuwa na pijini.
 
==Tazama pia==
Anonymous user