Wanyiha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
 
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
Wanyiha walio wengi ni wakulima na zao kuu la chakula ni mahindi wakati zao kubwa la biashara ni kahawa. Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo wasafwa, wandali, wanyakyusa, wabungu na wanyamwanga.
Hebu tuangalie baadhi ya maneno ya kinyiha na maana sake kwa kiswahili:
Amafindango- miujiza
Aminzi- maji
Abhantu- watu
Mwakata- za asubuhi (hutumika kusalimia asubuhi au ksma hujaonana na mtu kwa muda mrefu sana)
Mwizya- hutumika kusalimia mama mmeshaonana na mtu Mara ya kwanza
Ena- mwitiko was salamu