Kifaru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Sahihisho
Mstari 41:
 
Faru weusi wana mdomo uliochongoka. Wanafanana kwa rangi na faru weupe. Hii inachanganya sana, sababu majina yao ni tofauti lakini rangi zao ni sawa kabisa. Spishi hii ina spishi nyingine nne ndani yake. Faru mkubwa mweusi huwa na urefu wa sentimeta 132 – 180 mabegani mwake na urefu wa mita 2.8 – 3.8 kuanzia kichwani mwake.<ref>{{cite web|url=https://www.bisbeesconservationfund.org/Conservation/SaveTheRhino/RhinoGeneralInfo.aspx |title=Black Rhinoceros? |publisher=Bisbee's Conservation Fund |accessdate=15 October 2015}}</ref> Huwa na uzito wa kilogramu 850 mpaka 1600, na wachache mpaka kg 1800, huku faru jike wakiwa na umbo dogo kiasi kuliko wanaume. Pembe kubwa mbili zimetengenezwa kwa keratini huku ile kubwa ya mbele ikiwa ina urefu wa mpaka sentimeta 50, na mmoja aliwahi hata kufikia sentimeta 140. Wakati fulani hata pembe la tatu hujitokeza. Faru weusi ni wadogo kiasi kuliko faru weupe, na wana mdomo uliochongoka kwa ajili ya kukusanya majani kabla ya kula.
 
kutokanaKutokana na umuhimu wa wanyama hawa nchi ya Tanzania imeamua kuwatunza faru kwa kuwaweka sehemu isiyorasmi kwao kwa uangalizi mkubwa, maeneo kama grumeti na pia kwa kuwapa majina., kwa mfano Faru John.
 
== Faru wa India ==
Line 59 ⟶ 61:
 
Faru wa Sumatra wana kimo cha urefu wa sentimeta 130 mpaka mabegani, na mwili wake wa urefu sentimeta 240 – 315, na wana uzito wa kilogramu 700, japo baadhi yao wana uzito hata kufikia kilogramu 1000. Kama faru wa Afrika, hao wana pembe mbili zenye urefu mpaka sentimeta 25 – 27 na ile pembe ya pili ni ndogo na huwa ndogo kufikia sentimeta 10. Faru dume wana pembe kubwa kuliko faru jike. Nywele/manyoya ya miili yao hupungua kadiri wanavyoongezeka umri. Rangi ya faru hawa ni kahawia – nyekundu. Mwili wao ni mfupi na miguu yao pia na midomo yao ina nguvu sana.
kutokana na umuhimu wa wanyama hawa nchi ya Tanzania imeamua kuwatunza faru kwa kuwaweka sehemu isiyorasmi kwao kwa uangalizi mkubwa, maeneo kama grumeti na pia kwa kuwapa majina. mfano Faru John.
 
== Marejeo ==