Wanyiha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wanyiha''' ni [[kabila]] la watu wa [[Tanzania]] wanaoishi katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Wilaya ya Mbozi]]. Pia wako [[Zambia]]. [[Lugha]] yao ni [[Kinyiha]].
 
Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo [[Wasafwa]], [[Wandali]], [[Wanyakyusa]], [[Wabungu]] na [[Wanyamwanga]].
 
Wanyiha walio wengi ni [[wakulima]]: na [[zao]] kuu la [[chakula]] ni [[mahindi]] wakati zao kubwa la [[biashara]] ni [[kahawa. Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo wasafwa, wandali, wanyakyusa, wabungu na wanyamwanga]].
 
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
{{fupi}}
{{DEFAULTSORT:Nyiha}}
 
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
[[Jamii:Makabila ya Zambia]]
Wanyiha walio wengi ni wakulima na zao kuu la chakula ni mahindi wakati zao kubwa la biashara ni kahawa. Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo wasafwa, wandali, wanyakyusa, wabungu na wanyamwanga.
[[Jamii:Wilaya ya Mbozi]]
Hebu tuangalie baadhi ya maneno ya kinyiha na maana sake kwa kiswahili:
Amafindango- miujiza
Aminzi- maji
Abhantu- watu
Mwakata- za asubuhi (hutumika kusalimia asubuhi au ksma hujaonana na mtu kwa muda mrefu sana)
Mwizya- hutumika kusalimia mama mmeshaonana na mtu Mara ya kwanza
Ena- mwitiko was salamu