Kifaru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho
No edit summary
Mstari 19:
:''[[Rhinoceros]]'' <small>[[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758</small>
}}
'''Vifaru''' au '''faru''' ni [[wanyamapori]] wakubwa wa [[Familia (biolojia)|familia]] [[Rhinocerotidae]]. [[Spishi]] [[mbili kati ya hawa]] zinapatikana [[Afrika]] na wenginenyingine watatu[[tatu]] huko [[Asia]]. HukoNchini [[Uhindi]] wanabaki faru 2700 tu na hata faru weupe nao wameadimika sana [[duniani]].
 
Faru hufahamika sana kwa [[umbo]] lake kubwa (ni miongoni mwa [[mnyama|wanyama]] [[walanyasi]] wakubwa sana wanaokula nyasi ambao wanabakia); huku kila spishi ya faru ikikaribia kuwa na [[uzito]] wa [[tani]] [[moja]] na [[ngozi]] ngumu ya kujilinda, yenye [[unene]] wa [[sentimeta]] 1.5 – 5.0; [[ubongo]] mdogo wa [[mamalia]] ([[gramu]] 400 – 600) na [[pembe]] kubwa. Wao hulaHula sana [[Jani|majani. Faru wa Afrika hukosa meno ya mbele na kutegemea zaidi magego katika kusaga chakula]].
 
Faru wa Afrika na [[Sumatra]] wana pembe mbili huku wale wa Uhindi na [[Java]] wakiwa na pembe moja tu. Faru wana uwezo mkubwa wa kusikia na kunusa, lakini uoni wao si mzuri sana. Weusi huishi kwa miaka 60 na zaidi.
Faru huthaminiwa sana kutokana na pembe zao. Pembe hizo zimetengenezwa kwa keratini, protini, sawa na ile inayopatikana kwenye nywele na kucha.<ref>{{cite web|url=http://www.sciencedaily.com/releases/2006/11/061106144951.htm |title=Scientists Crack Rhino Horn Riddle? |publisher=Ohio University |date=11 November 2006 |accessdate=15 October 2014}}</ref>
 
Faru wa Afrika na [[Sumatra]] wana pembe mbili huku wale wa Uhindi na [[Java]] wakiwa na pembe moja tu. Faru wana uwezo mkubwa wa kusikia na kunusa, lakini uoni wao si mzuri sana. Weusi huishi kwa miaka 60 na zaidi.
Faru huthaminiwa sana kutokana na pembe zao. Pembe hizo zimetengenezwa kwa [[keratini]], [[protini]], sawa na ile inayopatikana kwenye [[nywele]] na [[kucha]].<ref>{{cite web|url=http://www.sciencedaily.com/releases/2006/11/061106144951.htm |title=Scientists Crack Rhino Horn Riddle? |publisher=Ohio University |date=11 November 2006 |accessdate=15 October 2014}}</ref>
Faru wa Afrika na [[Sumatra]] wana pembe mbili huku wale wa Uhindi na [[Java]] wakiwa na pembe moja tu. Faru wa Afrika hukosa [[meno]] ya mbele na kutegemea zaidi [[magego]] katika kusaga [[chakula]].
 
== Uainishaji ==
Kuna spishi tano zinazoweza kuwekwa kwenyekatika makundi matatu. Spishi mbili za Afrika, [[faru mweupe]] ([[w:White rhinoceros|white rhinoceros]]) na [[faru mweusi]] ([[w:Black rhinoceros|black rhinoceros]]) walitokea kama miaka [[milioni]] 5 hivi iliyopita. Tofauti kubwa kati ya faru mweupe na faru mweusi ni muundo wa [[Mdomo|midomo]] yao. Faru mweupe ana mdomo mpana kwa ajili ya kula nyasi huku mdomo wa faru mweusi ikiwa iliyochongokaimechongoka kiasi.
 
== Faru mweupe ==
[[Picha:Ceratotherium_simum_kwh_2.jpg|thumb|Faru mweupe huyu, White Rhinoceros, kimsinginikimsingi ni wa kijivu]]
Faru weupe kwa muonekano ni wa kijivu. Maana ya neno weupe ilikosewa tu kutokana na neno la [[kiholanzi]] ‘wijd’ lenye maana ya upana ‘wide’ ambalo lilizoeleka kama ‘white’ ambalo sasa laeleweka hivyo kama mweupe. Aliitwa hivyo kwa maana ya upana, sababu wa mdomo wake mpana wenye umbo la mraba.
Faru weupe kwa muonekano ni wa kijivu. Maana ya neno weupe ilikosewa tu kutokana na neno la kiholanzi ‘wijd’ lenye maana ya upana ‘wide’ ambalo lilizoeleka kama ‘white’ ambalo sasa laeleweka hivyo kama mweupe. Aliitwa hivyo kwa maana ya upana, sababu wa mdomo wake mpana wenye umbo la mraba.
 
Faru mweupe ndiyo mnyama mkubwa wa ardhini baada ya [[tembo]]. Anakaribiana kidogo na faru wa India na kiboko. Faru weupe wana mwili uliojaa, na kichwa kikubwa, shingo fupi na kifua kipana. Faru anaweza kuzidi uzito wa kilogramu 3,500 na urefu wa mita 3.5 – 4.6 kuanzia kichwani na mabega ya urefu wa sentimeta 180 – 200. Uzito wa faru mweupe uliovunja rekodi ni ule wa kilogramu 4,500.<ref>{{cite web|url=http://www.safarinow.com/destinations/south-africa/articles/African-Rhinoceros.aspx |title=African Rhinoceros? |publisher=Safari Now |date=18 December 2013 |accessdate=15 October 2014}}</ref>
Ana pembe mbili huku ile ya mbele ikiwa kubwa zaidi hata kufikia urefu wa sentimeta 90 – 150. Faru weupe pia wana nundu kubwa inayoshikilia vichwa vyao vizuri. Huwa na nywele kadhaa hasa kwenye masikio yao na mkiani, sehemu nyingine za mwili zikiwa zimesambaa kidogo tu.
 
== Faru mweusi ==
[[Picha:Ostafrikanisches_Spitzmaulnashorn.JPG|thumb|Faru mweusi ana mdomo uliochongoka.]]
 
Faru weusi wana mdomo uliochongoka. Wanafanana kwa rangi na faru weupe. Hii inachanganya sana, sababu majina yao ni tofauti lakini rangi zao ni sawa kabisa. Spishi hii ina spishi nyingine nne ndani yake. Faru mkubwa mweusi huwa na urefu wa sentimeta 132 – 180 mabegani mwake na urefu wa mita 2.8 – 3.8 kuanzia kichwani mwake.<ref>{{cite web|url=https://www.bisbeesconservationfund.org/Conservation/SaveTheRhino/RhinoGeneralInfo.aspx |title=Black Rhinoceros? |publisher=Bisbee's Conservation Fund |accessdate=15 October 2015}}</ref> Huwa na uzito wa kilogramu 850 mpaka 1600, na wachache mpaka kg 1800, huku faru jike wakiwa na umbo dogo kiasi kuliko wanaume. Pembe kubwa mbili zimetengenezwa kwa keratini huku ile kubwa ya mbele ikiwa ina urefu wa mpaka sentimeta 50, na mmoja aliwahi hata kufikia sentimeta 140. Wakati fulani hata pembe la tatu hujitokeza. Faru weusi ni wadogo kiasi kuliko faru weupe, na wana mdomo uliochongoka kwa ajili ya kukusanya majani kabla ya kula.
 
Mstari 47:
[[Picha:Panzernashorn2004.jpg|thumb|Faru wa India na mwanae.]]
[[Picha:Xihan_rhino,_gold_&_silver_inlays.JPG|thumb|Sanamu ya Faru wa shaba, wa Western Han (202 K.K – 9 BK) nyakati za China]]
Faru hawa wa India hasa wanapatikana sana huko Nepall[[Nepal]] na hasa kaskazini – mashariki mwa India. Sasa wanapatikana [[Pakistan]] mpaka [[Bama]] na wamefika hadi [[China]]. Lakini kutokana na mwingiliano wa [[binadamu]], uwepo wao umeathirika na wameanza kupungua. Ngozi yao pana ya kahawia karibu na kijivu yenye mikunjo. Juu ya miguu yao na mabega yao kuna vijinundu, na wana nywele kidogo kwenye miili yao. Faru dume huwa wakubwa kiasi kuliko faru jike kufikia uzito wa kilogramu 2500 – 3200. Faru hawa wana urefu wa sentimeta 175 – 200 mabegani. Faru jike wa india hufikia mpaka uzito kilogramu 1900. Faru hawa hufikia mpaka urefu wa mita 3.0 – 4.0. Karibu theluthi mbili ya faru wote waliobaki duniani, wanapatikana katika mbuga ya Taifa Kaziranga huko India.
 
Faru hawa wa India hasa wanapatikana sana huko Nepall na hasa kaskazini – mashariki mwa India. Sasa wanapatikana Pakistan mpaka Bama na wamefika hadi China. Lakini kutokana na mwingiliano wa binadamu, uwepo wao umeathirika na wameanza kupungua. Ngozi yao pana ya kahawia karibu na kijivu yenye mikunjo. Juu ya miguu yao na mabega yao kuna vijinundu, na wana nywele kidogo kwenye miili yao. Faru dume huwa wakubwa kiasi kuliko faru jike kufikia uzito wa kilogramu 2500 – 3200. Faru hawa wana urefu wa sentimeta 175 – 200 mabegani. Faru jike wa india hufikia mpaka uzito kilogramu 1900. Faru hawa hufikia mpaka urefu wa mita 3.0 – 4.0. Karibu theluthi mbili ya faru wote waliobaki duniani, wanapatikana katika mbuga ya Taifa Kaziranga huko India.
 
== Faru wa Java ==
Line 57 ⟶ 56:
== Faru wa Sumatra ==
[[Picha:Sumatran_Rhinoceros_-_Rapunzel.jpg|thumb|Faru wa Sumatra huko Bronx Zoo]]
 
Hawa ndio faru wadogo kabisa katika spishi zote za faru na ndiye huyu pekee mwenye manyoya mengi na anayeweza kuishi katika sehemu za juu hasa za Borneo na Sumatra. Kutokana na kuharibika kwa makazi yao na ujangili, wameadimika sana na miongoni mwa mamalia walioadimika sana. Mpaka sasa inaaminika sana kwamba wamebaki faru 275 wa spishi hii.
 
Line 67 ⟶ 65:
[[Jamii:Faru na jamaa]]
[[Jamii:Wanyama wa Afrika]]
[[Jamii:Wanyama wa Asia]]