Madawa ya kulevya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Madawa ya kulevya''' ni [[hatari]] sana kwa [[binadamu]] kwa kuwa madawa hayo husababisha [[Ugonjwa|magonjwa]] kama [[mapafu]] na kuharibu [[utindio wa ubongo]].
kuharibika.
 
Mfano wa madawa hayo ni kama [[kokaini]]., [[heroini]], [[bangi]] na [[milungi]].
 
Kuna watu wengi walioathiriwa na madawa ya kulevya, lakini yanazidi kuenea kwa sababu ni [[biashara]] kubwa inayoingiza [[pesa]] nyingi.
 
[[Serikali]] inatakiwa kutoa [[elimu]] kuhusiana na [[dhara|madhara]] yatokanayo na matumizi ya madawa ya kulevya, kwani ni hatari kwa maisha ya binadamu na kwa [[jamii]].
 
Mara chache yanaweza kusaidia [[wagonjwa]] kwa kuwafanya wasisikie maumivu makali mno.
 
{{mbegu-tiba}}
 
[[Jamii:Afya]]