Eurasia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
tahajia
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:LocationEurasia.png|right|200px|thumbnail|Eneo la Eurasia]]
[[Picha:Boundary between Europe and Asia (green shade).png|300px|thumbnail|Njia mbalimbali za kuchora mpaka kati ya Ulaya na Asia]]
'''Eurasia''' ni [[jina]] la kutaja nchi zote za [[Asia]] na [[Ulaya]] kwa pamoja. Jina hilihilo linaunganisha maneno "Europa" na "Asia".
 
Hali halisi [[Bara|mabara]] ya Ulaya na Asia zikoyako pamoja kama nchi kavu mfululizo na hakuna [[bahari]] inayoyatenganisha. Kwa hiyo Ulaya na Asia haziitwahaziitwi [[mabara]] kwa sababu za [[Jiografia|kijiografia]] lakinibali kwa sababu za [[Historia|kihistoria]] na za [[utamaduni|kiutamaduni]] tu. Uzoefu huu unatokana na Wagiriki wa Kale waliokuwa watu wa kwanza wa kugawa dunia katika sehemu tatu tofauti (Ulaya, Asia na Afrika) na hivyo kuweka msingi kwa ugawaji wa dunia kwa mabara.
 
Desturi hii inatokana na [[Wagiriki wa Kale]] waliokuwa watu wa kwanza wa kugawa [[dunia]] katika sehemu [[tatu]] tofauti (Ulaya, Asia na [[Afrika]]) na hivyo kuweka msingi wa ugawaji wa dunia kwa mabara.
Wataalamu wengi wa jiografia wanaana ya kwamba masi ya nchi kavu inayojumlisha Ulaya na Asia ina tabia zote za [[bara]] moja na hivyo hutumia jina la "Eurasia". Karibu eneo lote liko juu ya [[bamba la gandunia]] lilelile yaani [[Bamba la Ulaya-Asia]].
 
[[Wataalamu]] wengi wa jiografia wanaanawanaona ya kwamba [[masi]] ya nchi kavu inayojumlisha Ulaya na Asia ina [[tabia]] zote za [[bara]] moja na hivyo hutumia jina la "Eurasia". Karibu eneo lote liko juu ya [[bamba la gandunia]] lilelile, yaani [[Bamba la Ulaya-Asia]].
Tangu kale swali la mpaka kati ya Ulaya na Asia lilikuwa tata na kuna majibu mbalimbali. Wengu hukubaliana ya kwamba msatri unafuata [[milangobahari]] ya [[Dardaneli]] na [[Bosporus]] (nchini Uturuki), mwambao wa [[Bahari Nyeusi]] na [[Bahari Kaspi]] halafu safu ya milima ya [[Ural]] hadi [[Bahari Aktiki]]. Lakini kati ya Bahari Nyeusi na Kaspi katika eneo la [[Kaukasus]] mawazo hutofautiana sehemu gani ni ya Asia na zipi ya Ulaya.
 
Tangu kale swalisuala la mpaka kati ya Ulaya na Asia lilikuwa tata na kuna majibu mbalimbali. WenguWengi hukubaliana ya kwamba msatrimstari unafuata [[milangobahari]] ya [[Dardaneli]] na [[Bosporus]] (nchini [[Uturuki]]), [[mwambao]] wa [[Bahari Nyeusi]] na [[Bahari Kaspi]] halafu [[safu ya milima]] ya [[Ural]] hadi [[Bahari Aktiki]]. Lakini kati ya Bahari Nyeusi na Kaspi katika eneo la [[Kaukasus]] mawazo hutofautiana sehemu gani ni yaza Asia na zipi yaza Ulaya.
{{mbegu-jio}}
 
 
{{geo-stub}}
 
[[Category:Bara]]