Boutros Boutros-Ghali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d ni --> alikuwa
Mstari 1:
[[Picha:Boutros Boutros-Ghali.jpg|thumb|190px|Boutrous Boutrous-Ghali]]
'''Boutros Boutros-Ghali''' ([[Kar.]] '''بطرس بطرس غالي''', [[Kikopti]]: Bουτρος Βουτρος-Γαλι) (alizaliwa [[14 Novemba]] [[1922]] - [[16 Februari]] [[2016]]) nialikuwa mwanasiasa na mtaalamu wa sheria kutoka nchini [[Misri]]. Alikuwa katibu mkuu wa Umoja wa Kimataifa[[UN]] kati ya 1992 na 1996.
 
Alizaliwa katika familia ya Wakristo [[Wakopti]] mjini [[Kairo]]. Babu yake alikuwa waziri mkuu wa Misri. Baada ya shule alisoma sheria kwenye chuo kikuu cha [[Kairo]] akamaliza 1946 akaendelea kuchukua shahada ya udaktari huko [[Ufaransa]].