Volkswagen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 64 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q246 (translate me)
Removing Volkswagen_logo.svg, it has been deleted from Commons by Jcb because: per c:Commons:Deletion requests/File:Logo Volkswagen.png.
Mstari 1:
[[Picha:Volkswagen logo.svg|right|thumb|Volkswagen [[logo]]]]
[[Picha:World locations of Volkswagen Group factories updated.svg|thumb|250px|Nchi penye viwanda vya makampuni chini ya VW duniani]]
'''Volkswagen''' (''[[Jer.]] gari la wananchi'') inayojulikana pia kwa kifupi chake '''VW''' (tamka [[ing.]] vii-dabl-yu au [[jer.]] vau-we) ni kampuni ya kutengeneza [[motokaa]] kutoka nchini [[Ujerumani]]. Makao makuu yapo mjini [[Wolfsburg]] katika jimbo la [[Saksonia Chini]] lakini ina viwanda katika sehemu nyingi za Ujerumani na nchi nyingi hadi Afrika, Asia na Amerika.