Kiingereza cha Kale : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
+viungo vya nje |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Kiingereza cha Kale''' ni [[Kiingereza]] kilichokuwa kikizungumzwa [[Uingereza]] kati ya [[karne ya 5]] na [[Karne ya 11|11]].
Wasemaji wa Kiingereza cha kisasa kwa kawaida hawaelewi tena [[lugha]] ya kale ambayo ni karibu zaidi na [[Kijerumani]], hasa [[Kijerumani cha Kaskazini]].
== Historia ==
Kiingereza cha Kale kilianzishwa na Wa[[anglia]] na Wa[[saksoni]] waliovamia [[kisiwa]] cha
Uvamizi wa [[Wanormandi]] mwaka 1066 ulileta athira kubwa ya lugha ya Kifaransa. Kiingereza cha Kale kilibadilika kwa kupokea maneno mengi ya Kifaransa na kuwa lugha ya mchanganyiko inayoitwa "[[Kiingereza cha Kati]]". ▼
▲[[Uvamizi]] wa [[Wanormandi]] mwaka [[1066]] ulileta athira kubwa ya lugha ya [[Kifaransa]]. Kiingereza cha Kale kilibadilika kwa kupokea [[Neno|maneno]] mengi ya Kifaransa na kuwa lugha ya mchanganyiko inayoitwa "[[Kiingereza cha Kati]]".
== Mifano ya Kiingereza cha Kale ==
=== Sala ya Baba Yetu ===
Mfano wa Kiingereza cha Kale ni maneno ya [[sala]] ya [[Kikristo]] ya "[[Baba Yetu]]" katika [[lahaja]] ya [[Kisaksoni]] cha [[Magharibi]]:
: Fæder ure þu þe eart on heofonum,
Line 23 ⟶ 22:
=== Beowulf ===
Mfano mashuhuri wa [[fasihi]] ya Kiingereza cha Kale ni [[shairi]]
Kuna sehemu ya pili ya shairi
{| cellspacing="10" style="white-space: nowrap;"
Line 70 ⟶ 69:
== Tazama pia ==
*[[Kiingereza]]
{{DEFAULTSORT:Ingereza}}
|