Kiingereza cha Kale : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
== Historia ==
Kiingereza cha Kale kilianzishwa na Wa[[angliaWaangli]] na Wa[[saksoniWasaksoni]] waliovamia [[kisiwa]] cha [[Britania]] wakitokea [[Ujerumani]] ya Kaskazini. Wavamiaji wengine walikuwa Wa[[denmark]]. Lugha hizi za [[Kigermanik]] ziliunganika kuwa Kiingereza cha Kale.
 
[[Uvamizi]] wa [[Wanormandi]] mwaka [[1066]] ulileta athira kubwa ya lugha ya [[Kifaransa]]. Kiingereza cha Kale kilibadilika kwa kupokea [[Neno|maneno]] mengi ya Kifaransa na kuwa lugha ya mchanganyiko inayoitwa "[[Kiingereza cha Kati]]".
Mstari 61:
| [11] || gomban gyldan. Þæt wæs god cyning!
| and yield to him. He was a good king!
|}
 
== Tazama pia ==