Tofauti kati ya marekesbisho "Vita Kuu ya Pili ya Dunia"

no edit summary
'''Vita Kuu ya Pili ya Dunia''' ilikuwa [[vita]] vilivyodumu kuanzia mwaka [[1939]] hadi [[1945]] kati ya [[Ujerumani]], [[Italia]], [[Japani]] na [[Taifa|mataifa]] yaliyoshikamana naonazo ([[Romania]], [[Hungaria]] na [[Bulgaria]]) dhidi ya nchi nyingi za [[dunia]] (ziliitwa [[mataifa ya ushirikiano]]) kati yaoyake hasa [[Uingereza]], [[ Uchina]], [[Urusi]] na [[Marekani]].
 
== Vita Kuu ya Dunia ==
[[Jina]] limepatikana kutokanalimetokana na vita ya miaka [[1914]]-[[1918]] iliyoona mapambano kati ya Ujerumani na wenzake dhidi ya nchi nyingi. Vita ya 1914/1918 iliitwa "Vita Kuu ya Dunia" kwa sababu mapigano yalienea pande nyingi za dunia yote, tofauti na vita zilizotangulia. Kwa namna fulani vita iliyoanza [[1939]] ilikuwa marudio ya vita iliyotangulia. Hivyo imekuwa kawaida kuzitaja vita hizi kama [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia|Vita Kuu ya Kwanza]] na ya Pili ya Dunia.
 
Kwa namna fulani vita iliyoanza [[1939]] ilikuwa marudio ya vita iliyotangulia. Hivyo imekuwa kawaida kuzitaja vita hizi kama [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia|Vita Kuu ya Kwanza]] na ya Pili ya Dunia.
 
== Mwanzo wa vita ==
Vita hii ilianza huko '''[[Ulaya]]''' tarehe [[1 Septemba]] 1939 kwa mashambulizi ya [[Wajerumani]] dhidi ya [[Poland]]. Wengine huhesabu mashambulizi ya '''[[Japani]] dhidi ya [[Uchina]]''' tarehe [[7 Julai]] [[1937]] kuwa mwanzo wa vita. Mwisho wake ulikuwa huko [[Ulaya]] tarehe [[9 Mei]] 1945 halafu huko [[Asia]] tarehe [[2 Septemba]] 1945.
== Vita katika Ulaya ==
'''Mashambulizi ya Wajerumani dhidi Poland''' ilisababishayalisababisha hali ya vita kati ya Ujerumani kwa upande moja na [[Ufaransa]] na [[Uingereza]] kwa upande mwingine waliokuwa na [[mkataba]] yawa kulindana na Poland. Serikali za [[Australia]], [[New Zealand]], [[Nepal]], [[Afrika Kusini]] na [[Kanada]] zilishikamana na Uingereza kwa kutangaza vita dhidi ya Ujerumani. [[Urusi]], ulikuwauliokuwa na mkataba wa siri na Ujerumani, ulichukua nafasi ya kuteka sehemu kubwa za Poland ya Mashariki.
 
Mwezi wa Aprili [[1940]] [[Waingereza]] walianza kupeleka [[wanajeshi]] '''[[Norway]]''' wakiwa na shabaha ya kuzuia kupelekwa kwa [[madini]] ya [[chuma]] kutoka [[Sweden]] kwenda Ujerumani kupitia mabandaribandari yaza Norway. Wajerumani walichukua nafasi hii kuteka '''[[Denmark]]''' na Norway na kufukuza Waingereza.
 
'''Mnamo Mei [[1940]] Wajerumani walishambulia Ufaransa''' pamoja na nchi za [[Uholanzi]], [[Ubelgiji]] na [[Luxemburg]]. Vita hii ilikwisha haraka: Wajerumani walishinda na kupiga pia kikosi cha Waingereza huko Ufaransa. Baadaye walisitasita kushambulia Uingereza yenyewe. Mipango yao ilihitaji mbinu za kuvuka [[bahari]]. Wakajaribu kuvuruga nguvu ya kijeshi ya Waingereza kwa mashambulizi ya [[Ndege (uanahewa)|ndege]] lakini hawakuwa na uwezo wa kutosha. Katika shambulizi dhidi ya Ufaransa [[Waitalia]] walishirikiana kwawalishiriki upande wa Wajerumani.
 
Mwisho wa mwaka 1940 Waitalia walianza kuwashambulia [[Ugiriki]] na jeshi la [[Uingereza|Waingereza]] huko [[Misri]] na [[Malta]]. Lakini mahali pote walirudishwa nyuma, hadi kiongozi[[dikteta]] Mjerumani [[Adolf Hitler]] aliamua kuwasaidia Waitalia na kupeleka wanajeshi Wajerumani kwenda [[Afrika ya Kaskazini]] pamoja na Ugiriki mwaka [[1941]]. Hii ilisababisha pia Wajerumani kuteka [[Yugoslavia]] wakiwa njiani kwenda Ugiriki.
 
== Vita ya kidunia ==
Mwaka wa [[1941]] uliona vita kubadilika kutoka vita ya Kiulaya kuwa vita ya kidunia.
 
'''Wajerumani walishambulia '''Urusi'''''' wakifika hadi kando laya [[mji mkuu]] wa [[Moscow]], lakini walishindwa kuiteka. Walikamata kusinieneo yotelote yala kusini mwa Urusi hadi [[milima]] ya [[Kaukazi]] na hadi [[mto]] wa Wolga[[Volga]].
'''
Wajapani walishambulia '''Marekani'''''' pamoja na makoloni ya Waingereza na Waholanzi huko Asia. Hitler alitangaza pia vita dhidi ya Marekani akitaka kuwasaidia Wajapan ingawa Japan haikushambulia Urusi.
 
Wajapani walishambulia '''Marekani'''''' pamoja na [[Koloni|makoloni]] ya Waingereza na [[Waholanzi]] huko Asia. Hitler alitangaza pia vita dhidi ya Marekani akitaka kuwasaidia WajapanWajapani ingawa Japan haikushambulia Urusi.
Katika miaka iliyofuata nguvu ya Ujerumani na Japani ilipungua. Hasa uwezo wa kiuchumi wa Marekani ulizalisha mitambo na silaha kwa mkasi usiopatikana kwa Wajerumani na Wajapon. Ukali wa utetezi wa Warusi ulichosha nguvu za Wajerumani.
 
Katika miaka iliyofuata nguvu ya Ujerumani na Japani ilipungua. Hasa uwezo wa kiuchumi wa Marekani ulizalisha mitambo na [[silaha]] kwa mkasi usiopatikana kwa Wajerumani na WajaponWajapan. Ukali wa utetezi wa Warusi ulichosha nguvu za Wajerumani.
'''Kuanzia mwaka [[1943]] mataifa ya ushirikiano yalianza kusogea mbele''' pande zote. Warusi walisukuma Wajerumani polepole warudi nyuma. Waamerika na Waingereza walipeleka wanajeshi Italia ya Kusini. Italia iliona mapinduzi kiongozi Mwitalia [[Mussolini]] aliondolewa madarakani na serikali mpya ilijiunga na mataifa ya ushirikiano.
 
'''Kuanzia mwaka [[1943]] mataifa ya ushirikiano yalianza kusogea mbele''' pande zote. Warusi walisukuma Wajerumani polepole warudi nyuma. Waamerika na Waingereza walipeleka wanajeshi [[Italia ya Kusini]]. Italia ilionailifanya [[mapinduzi]]: kiongozidikteta Mwitalia [[Mussolini]] aliondolewa [[madaraka|madarakani]] na [[serikali]] mpya ilijiunga na mataifa ya ushirikiano.
[[1944]] mataifa ya ushirikiano waliingia Ufaransa wakielekea Ujerumani. Wakati huohuo Warusi walisogea mbele zaidi wakikaribia mipaka ya Ujerumani. Huko [[Asia]] Japon ilipoteza sehemu kubwa sana ya meli zake za kivita na Jeshi la Marekani lilikaribia visiwa vya Japani tayari.
 
Mwaka [[1944]] [[askari]] wa mataifa ya ushirikiano waliingia Ufaransa wakielekea Ujerumani. Wakati huohuo Warusi walisogea mbele zaidi wakikaribia mipaka ya Ujerumani. Huko [[Asia]] JaponJapan ilipoteza sehemu kubwa sana ya [[meli]] zake za kivita na Jeshi la Marekani lilikaribia [[visiwa]] vya Japani tayari.
== Mwisho wa vita ==
 
== Mwisho wa vita ==
Mwaka [[1945]] iliona mwisho wa vita. Mataifa mengi yaliyokuwa mbali, kama [[Argentina]], [[Peru]] au [[Mongolia]], yalitangaza pia hali ya vita dhidi ya Ujerumani na Japani. Pia nchi zilizowahi kushikamana na Wajerumani waligeukia mataifa ya ushirikiano. Ujerumani penyeweyenyewe ilivamiwa kutoka [[Magharibi]] na [[Mashariki]]. Warusi walifika mji mkuu wa [[Berlin]] na Adolf Hitler alijiua tarehe [[30 Aprili]] 1945; wanajeshi wake walitia [[sahihi]] mkataba wa kusalimu amri tarehe [[8 Mei|8]]-[[9 Mei]] 1945.
 
[[Picha:Nagasakibomb.jpg|thumb|right|200px|[[Wingu]] la kinyuklia juu ya Nagasaki tarehe 9 Agosti 1945]]
Huko Asia Japani iliendelea kupigana na Waamerika walioweza kufikisha ndege zao zilizobeba [[bomu|mabomu]] hadi JaponiJapani penyeweyenyewe. Mnamo Agosti 1945 Waamerika walitumia silaha mbili za kinyuklia walizokuwa nazo wakati ule na kuua watu wengi sana huko [[Hiroshima]] tarehe [[6 Agosti]] na [[Nagasaki]] tarehe [[9 Agosti]] 1945. Siku zilezile Warusi walianza kuwashambulia wanajeshi Wajapani huko Uchina. Haya yote yalisababisha serikali ya Japani kukubali wameshindwa wakatia sahihi mkataba wa kusalimu amri tarehe [[2 Septemba]] 1945.
 
== WafuWaliokufa wa vitavitani ==
Kwa jumla takriban watu millioni[[milioni]] 60 walikufa kutokana na vita hivi. Makadirio hutaja wanajeshi millionimilioni 25 na watu raia millionimilioni 35. Taifa lililopoteza watu wengi ni Urusi walipokufa kati ya milioni 20-28, idadi kubwa wakiwa raia.
Taifa lililopotea watu wengi ni Urusi walipokufa kati ya millioni 20-28, idadi kubwa watu raia.
 
Takriban watu millionimilioni 10 waliuawa na Wajerumani au walikufa kutokana na kutendewa vibaya nje ya mapigano, kama vile millionimilioni 6 za [[Wayahudi]], wengine Wapoland, Warusi, [[Wasinti]], [[walemavu]] n.k.
 
== [[Umoja wa Mataifa]] ==
Tokeo moja la vita kuu ya pili ni kuanzishwa kwa [[Umoja wa Mataifa.]] Uliundwa 1945 kama chombo cha kuzuia vita zijazo. Kutokana na [[historia]] hii mataifa yenye nafasi za kudumu na [[kura]] ya [[veto]] katika [[Baraza yala Usalama]] ndiyo mataifa washindi wa vita kuu ya pili: Marekani, Uchina, Ufaransa, Uingereza na Urusi. Kutokana na kura ya veto hawawezi kuondolewa bila kukubali wenyewe hata kama siku hizi Ufaransa na Uingereza si tena nchi muhimu sana tena duniani.
 
[[Jamii:Vita]]
[[Jamii:Historia]]
[[Jamii:Historia ya Ulaya]]
[[Jamii:Historia ya Asia]]
[[Jamii:Historia ya Afrika]]
[[Jamii:Historia ya Amerika]]