Ndizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 48:
Shina la mgomba kwa jamii za watu hasa wa huko Asia, hupikwa na kuliwa. Maji maji yanayopatikana hutumika pia kutibu magonjwa ya figo na moyo.
 
Majani ya migomba hutumika kama sahani au vyombo vya kuwekea chakula hasa kwa jamii zinazo endeleza tamaduni za kale,hutumika wakati wa kula vyakula vya asili. Licha ya kuhifadhi tu chakula, huambukiza ladha moja nzuri kwenye chakula.
 
[[Jamii:Chakula]]