Misimu (lugha) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa MSIMU hadi Msimu (lugha): usahihi wa tahajia
No edit summary
Mstari 1:
'''Msimu''' ni [[Neno|maneno]] [[sanifu]] yanayo anzishwayanayoanzishwa na kikundi cha watu wachache wenye [[utamaduni]] mmoja ili kueleza mahusiano yao kama kikundi.
MSIMU
 
Msimu ni maneno [[sanifu]] yanayo anzishwa na kikundi cha watu wachache wenye[[utamaduni]] mmoja ili kueleza mahusiano yao kama kikundi.
==Chanzo==
CHANZO CHA MSIMU
Mabadiliko ya kihistoria yanao ikumbayanaoikumba [[jamii]] katika shughuli mbalimbali ni miongoni mwa utu wa watu mbalimbali.
 
SIFA ZA MSIMU
==Sifa==
*1) [[Huzuka]] na kutokea kufuatana na mabadiliko ya jamii
2)Nilugha isiyo [[sanifiwa]]
*2) Ni [[lugha]] isiyosanifiwa
*3) Ni lugha ya [[mafumbo]]
*4)Hupedwa Hupendwa sana na watu wengi kwasabukwa sababu hufuraishahufurahisha
*5) Ni lugha inayo fahamikainayofahamika na watu wachache
DHIMA AU KAZI ZA MSIIMU
 
1)Hutumika kutunza historia ya jamii fulani
==Dhima au kazi==
2)Hutumika [[kupamba]] lugha
3*1) Hutumika kubainikutunza [[hisiahistoria]] mbalimbaliya zajamii wazungumzajifulani
*2) Hutumika [[kupamba]] lugha
4)Hufurahisha na kuchekesha kwakua aina chuki na [[kejeri]]
*3) Hutumika kubaini [[hisia]] mbalimbali za wazungumzaji
5)Hupunguza ukali wa maneno mfano kula raha-kufanya ngono
*4) Hufurahisha na kuchekesha kwakuakwa ainakuwa haina [[chuki]] nawala [[kejerikejeli]]
NJIA ZINA UNDA MISIMU
*5) Hupunguza [[ukali]] wa maneno, mfano: kula [[raha-]] = kufanya [[ngono]]
1)Kufupisha maneno
 
2)Kutoka lugha za kigeni
==Njia za kuunda msimu==
3)Kutumia silabi
*1) Kufupisha maneno
ni utenganisho wa ombo,rangi,kiini,dhima baina ya watu
*2) Kutoka lugha za kigeni
SABABU ZA KUTUMIA MSIMU
*3) Kutumia [[silabi]] ni utenganisho wa ombo[[umbo]], [[rangi]], [[kiini]], [[dhima]] baina ya watu
1)Kuhitaji mazungumzo ya [[siri]] ili wasio husika wasielewe.
 
2)Kuzani ndio [[ujuzi]] wa lugha.
==Sababu za kutumia msimu==
3)Kuongeza uzuli na ukali wa jambo wakati wa kulikamata nk.
*1) Kuhitaji mazungumzo ya [[siri]] ili wasio husikawasiohusika wasielewe.
AINA ZA MSIMU
*2)Kuzani Kudhani ndio [[ujuzi]] wa lugha.
1)Misimu ya pekee
*3) Kuongeza uzuli[[uzuri]] na ukali wa jambo wakati wa kulikamata nkn.k.
2)Misimu ya kitarafa
 
3)misimu ya zagao
==Aina za msimu==
*1) Misimu ya pekee
*2) Misimu ya kitarafa
*3)misimu Misimu ya zagao
 
{{mbegu-lugha}}
 
[[Jamii:Isimu]]
[[Jamii:Kiswahili]]