Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita"

== Kura kuhusu wikisource ==
 
==Kura kuhusu wikisource==
Salaam kuna [[Wikipedia:Jumuia#Pendekezo:_Tuanzishe_kitengo_cha_WikiSource_NDANI_ya_wikipedia_yetu| Pendekezo: Tuanzishe kitengo cha WikiSource NDANI ya wikipedia yetu]] unaombwa kuiangalia na kupiga kura!
'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 02:00, 29 Januari 2017 (UTC)
 
==Migawo==
Samahani, kijana wangu ametunga kurasa mpya za namba asilia, akiingiza migawo ambayo si sahihi. Nakuachia wewe mtaalamu kurekebisha. Asante. --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 14:18, 19 Februari 2017 (UTC)