Hali maada : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 70 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11430 (translate me)
Mfano wa maji
Mstari 7:
* [[kiowevu]] (majimaji)
* [[gesi]] (kama hewa)
 
 
* Hali ya nne ni [[Utegili (fizikia)|utegili]] (plasma) lakini duniani inatokea tu katika maabara penye joto, baridi au shindikizo kubwa sana. Lakini katika ulimwengu kwa jumla maada nyingi iko katika hali ya utegili kwa sababu atomu za jua na maada ya nyota ziko katika hali ya utegili kutokana na joto kali na shindikizo kubwa.
Line 17 ⟶ 18:
 
Katika '''hali ya gesi''' atomu hazishikwi pamoja, zaelea kwa mwendo huria. Atomu na molekuli za gesi huelekea kusambaa na kukalia nafasi yote ambamo zimewekwa. Dutu katika hali hii ina uzani lakini haina umbo wala mjao kamili.
 
==Mfano wa maji==
Mfano wake ambao hueleweka kirahisi ni [[maji]]. Maji ni dutu ileile inayofanywa na molekuli za H<sub>2</sub>O zenye atomu moja ya [[oksijeni]] na atomu mbili za [[hidrojeni]]. Maji tunajua kwa umbo tatu za kawaida (hali kiowevu kati ya sentigredi 1-99), [[barafu]] (chini ya sentigredi 0 ambayo ni hali mango) na mvuke (hali ya gesi, juu ya 100°C).
 
== Atomu katika hali maada mbalimbali ==