Tofauti kati ya marekesbisho "Mlango wa Bering"

151 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
[[Image:Bering Strait.jpeg|thumb|200px|right|Mlango wa Bering unavyoonekana kutoka angani]]
[[Image:US_NOAA_nautical_chart_of_Bering_Strait.png|right|thumb|200px|Ramani ya mlango wa Bering]]
'''Mlango wa Bering''' (kwa [[Kirusi]]: Берингов пролив; kwa [[Kiingereza]]: Bering Strait) ni [[mlango wa bahari]] na mahali pa kukaribiana kati ya [[Alaska]] upande wa [[Amerika ya Kaskazini]] na [[Siberia]] upande wa [[Asia]].
 
'''Mlango wa Bering''' (una [[Kirusiupana]]: Беринговwa пролив;takriban [[Kiing.kilomita]]:Bering Strait)92 nina [[mlango wa baharikina]] na mahali pa kukaribiana kati yacha [[Alaskamita]] upande30 wahadi 50 pekee. Unaunganisha [[Amerikabahari ya KaskaziniAktiki]] na [[Siberia]] upande wa [[AsiaPasifiki]].
 
[[Jina]] limetokana na [[Vitus Bering]] aliyekuwa [[Mdenmark]] katika utumishi wa Urusi aliyevuka mlango huu mwaka [[1728]].
Mlango wa Bering una upana wa takriban [[kilomita]] 92 na kina cha [[mita]] 30 hadi 50 pekee. Unaunganisha [[bahari ya Aktiki]] na [[Pasifiki]].
 
MaeneoKando kando laya mlango wa Bering pande zote mbili maeneo yana watu wachache kwa sababu ya [[mazingira]] ya [[baridi]].
Jina limetokana na [[Vitus Bering]] aliyekuwa Mdenmark katika utumishi wa Urusi aliyevuka mlango huu mwaka [[1728]].
 
Kufuatana na [[nadharia]] za [[wataalamu]] wa [[historia]] hapa palikuwa mahali pa kuvuka kwa watu wa kwanza kutoka Asia kwenda [[Amerika]]. Inafikiriwa ya kwamba wakati wa [[Enzi ya Barafu]] miaka 10,000 iliyopita kiasi kikubwa cha [[maji]] [[duniani]] kilipatikana kwa umbo la [[barafu]] na hivyo kiasi cha maji [[kiowevu]] kilikuwa kidogo kuliko leo. Kwa sababu hiihiyo [[usawa wa bahari]] ulikuwa takriban mita 121 chini ya uwiano wa leo<ref>[http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html [http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html] As ice sheets build up sea level drops, exposing continental shelves], Tovuti ya rice.edu, ilitazamiwa Februari 2017</ref> na mlango wa Bering ulikuwa mkavu ukapitika kwa [[miguu]]. Hivyo watu waliingia kwa mara ya kwanza barani Amerika.
Maeneo kando la mlango Bering pande zote mbili yana watu wachache kwa sababu ya mazingira baridi.
 
Kufuatana na nadharia za wataalamu wa historia hapa palikuwa mahali pa kuvuka kwa watu wa kwanza kutoka Asia kwenda [[Amerika]]. Inafikiriwa ya kwamba wakati wa [[Enzi ya Barafu]] miaka 10,000 iliyopita kiasi kikubwa cha maji duniani kilipatikana kwa umbo la [[barafu]] na hivyo kiasi cha maji [[kiowevu]] kilikuwa kidogo kuliko leo. Kwa sababu hii [[usawa wa bahari]] ulikuwa takriban mita 121 chini ya uwiano wa leo<ref>[http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html [http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html] As ice sheets build up sea level drops, exposing continental shelves], Tovuti ya rice.edu, ilitazamiwa Februari 2017</ref> na mlango wa Bering ulikuwa mkavu ukapitika kwa miguu.
 
[[Category:Milango ya Bahari]]
[[Category:Aktiki]]
[[Jamii:Historia ya Amerika]]