Hali maada : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mfano wa maji
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ice Encased Trees and Bushes in Winter.jpg|thumb|180px|[[Maji]] katika hali [[mango]] ni [[barafu]] au [[theluji]]]]
[[Picha:Fjord1.JPG|thumb|180px|Maji katika hali kiowevu jinsi tunavyoyajua kila siku: majimaji (isipokuwa mlimani huko nyuma ni mango)]]
[[Picha:Kochendes wasser02.jpg|thumb|180px|Mvuke ya maji hauonekani lakini ni kile kinachojaza mapovu ndani ya maji yanayochemka]]
'''Hali ya maada''' ni muundo jinsi [[maada]] hutokea katika hali mbalimbali, ama kama [[elementi]] (dutu tupu) au kama [[kampaundi]] (dutu za mchanganyiko). Duniani kwa kawaida kuna hali tatu ya maada:
 
[[Duniani]] kwa kawaida kuna hali [[tatu]] za maada:
 
'''Hali ya maada''' ni muundo jinsi [[maada]] hutokea katika hali mbalimbali, ama kama [[elementi]] (dutu tupu) au kama [[kampaundi]] (dutu za mchanganyiko). Duniani kwa kawaida kuna hali tatu ya maada:
* [[mango]] (imara)
* [[kiowevu]] (majimaji)
* [[gesi]] (kama hewa)
 
* Hali ya nne ni [[Utegili (fizikia)|utegili]] (plasma) lakiniila duniani inatokea tu katika [[maabara]] penye [[joto]], [[baridi]] au shindikizo kubwa sana. Lakini katika [[ulimwengu]] kwa jumla maada nyingi iko katika hali ya utegili kwa sababu [[atomu]] za [[jua]] na maada ya [[nyota]] ziko katika hali ya utegili kutokana na joto kali na shindikizo kubwa.
 
* Hali ya nne ni [[Utegili (fizikia)|utegili]] (plasma) lakini duniani inatokea tu katika maabara penye joto, baridi au shindikizo kubwa sana. Lakini katika ulimwengu kwa jumla maada nyingi iko katika hali ya utegili kwa sababu atomu za jua na maada ya nyota ziko katika hali ya utegili kutokana na joto kali na shindikizo kubwa.
 
Hali za maada hutofautiana jinsi vipande vidogo ndani ya dutu yaani [[atomu]] au [[molekuli]] zake zahusiana.
 
Katika '''hali mango''' zakaa pamoja kila atomu mahali pake. Tunasema: Dutu ni imara. Dutu katika hali hii ina [[umbo]], [[mjao]] na [[uzani]] maalumu.
 
Katika '''hali kiowevu''' atomu zina nafasi ya kuachana na kubadilishana mahali. TwasemaTunasema dutu ni kama majimaji. Dutu katika hali hii ina mjao na uzani maalumu lakini haina umbo. Kiowevu chakubali kila umbo la chombo kinamomwagwa.
 
Katika '''hali ya gesi''' atomu hazishikwi pamoja, zaelea kwa mwendo huria. Atomu na molekuli za gesi huelekea kusambaa na kukalia nafasi yote ambamo zimewekwa. Dutu katika hali hii ina uzani lakini haina umbo wala mjao kamili.
 
==Mfano wa maji==
Mfano wake ambao hueleweka kirahisikwa urahisi ni [[maji]]. Maji ni dutu ileile inayofanywa na molekuli za H<sub>2</sub>O zenye atomu [[moja]] ya [[oksijeni]] na atomu [[mbili]] za [[hidrojeni]]. Maji tunajua kwa umbo tatu za kawaida (hali kiowevu kati ya [[sentigredi]] 1-99), [[barafu]] (chini ya sentigredi 0 ambayo ni hali mango) na [[mvuke]] (hali ya gesi, juu ya 100°C).
 
== Atomu katika hali maada mbalimbali ==
Mstari 28:
Image:Teilchenmodell Gas.png|Atomu au molekuli katika hali ya '''gesi'''
</gallery>
 
{{mbegu-fizikia}}
 
[[Jamii:Fizikia]]