Bunge : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+senati
Mstari 1:
'''Bunge''' ni chombo cha kutunga [[sheria]] na pia ni mmoja wa [[mhimili|mihimili]] mitatu inayounda [[mfumo]] wa [[utawala]] kulingana na [[mgawanyo wa madaraka]] katika dola. Mihimili mingine ni [[mahakama]] na [[serikali]].
 
Bunge ni chombo kinachotokana na [[mfumo wa utawala wa Westminster]], ambao umerithiwa na nchi nyingi duniani kutoka [[Uingereza]]. Kutokana na mfumo huo kuenea, mara nyingi [[Bunge la Uingereza]] huitwa "Mama wa Bunge" duniani.
Mstari 8:
 
[[Shughuli]] za bunge husimamiwa na [[mbunge]] aliyechaguliwa kama [[mwenyekiti]], [[rais]] au [[spika]] wa bunge.
 
Kuna aina mbili za bunge
* bunge la "chumba kimoja" ambako wawakilishi wote wa wananchi hukaa na kufanya maazimio pamoja
* bunge la "vyumba viwili" ambako kitengo kikubwa zaidi kina kazi ya kutunga sheria na wabunge wake huchaguliwa moja kwa moja na wananchi katika majimbo ya uchaguzi yanayotakiwa kuwa takriban na idadi ya wapiga kura sawa. Kitengo kingine mara nyingi huitwa "[[senati]]" au "chumba cha juu" kwa kawaida ni kidogo zaidi, wabunge wake huchaguliwa ama na wawakilishi wa mikoa au majimbo au wanateuliwa pia kufuatana na kanuni za katiba (k.m. kwa shabaha ya kuwakilisha makundi maalumu katika jamii).
 
== Mabunge ya Afrika ==