Usawa bahari wastani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Usawa wa wastani wa maji ya bahari''' hutumika kama [[kipimo]] cha kulinganisha [[kimo]] cha mahali [[duniani]] toka usawa wa [[bahari]]. Hali halisi [[usawa wa bahari]] hubadilika kati ya mahali na mahali na muda hadi muda. Kwa hiyo kuna kadirio la wastani wa vipimo hivihivyo inayotumika kuwa usawa bahari wastani.
 
Kawaida hutumika katika [[sentensi]] kama: "[[Nairobi]] iko 1644 [[mita]] 1644 juu ya usawa wa bahari."
Au: "[[Ndege inatembea(uanahewa)|Ndege]] 11.000inasafiri [[mita]] 11.000 juu ya usawa wa bahari"
Kifupi chake: UB
 
 
{{Lango|Jiografia}}
 
{{mbegu-jio}}
 
[[Jamii:Jiografia]]