Senati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Senati''' ilikuwa [[baraza]] kuu katika [[Dola la Roma]]. [[Jina]] lake limetokana na neno la [[kilatiniKilatini]] ''senes'' (= [[mzee]]) kwa hiyo senati ilikuwa baraza la wazee.
 
Wakati wa [[Jamhuri ya Kiroma]] Senatisenati ilikuwa chombo kikuu cha [[dola]]; wakati wa [[makaisari]] tangu [[Augusto]] umuhimu wake ulipungua lakini kwa muda mrefu makaisari walijitahidi kuheshimu baraza hilihilo hata kama [[mamlaka]] zake zilipungua zaidi na zaidi. [[Sheria]] zilitangazwa kwa jina la senati; wakati wa fitina kati ya senati na [[mtawala]] kulikuwa pia na [[amri]] za kikaisari zilizotangazwa bila idhini ya senati lakini kwa jumla makaisari hawakutumia jina "sheria" kwa amri hizihizo.
 
Kimsingi senati ilijumlisha wote waliowahi kuwa [[afisa|maafisa]] wakuu wa dola. Katika utaratibu wa Kiroma maafisa wote walichaguliwa kwa muda wa [[mwaka]] mmoja. Wenye [[Cheo|vyeo]] hawakupata [[mshahara|mishahara]], kwa hiyo walikuwa hasa [[tajiri|matajiri]] walioweza kugombea nafasi hizihizo. Kwa sababu hiyo senati kama mkutano wa maafisa wa kale ilijumlisha hasa watu kutoka [[familia]] za [[ukabaila|makabaila]] au pia kutoka familafamilia tajiri nyingine.
 
Wakati wa jamhuri ya Kiroma senati ilikuwa na maseneta 100 waliongezekawalioongezeka baadaye kuwa 300. [[Julius Caesar|Gaius Julius Caesar]] aliongeza vyeo hivi hadi wajumbe 900.
 
Senati ilidumu hadi mwisho wa Dola la Roma. Katika [[Dola la Roma Magharibi]] heshim aheshima yake ilikubaliwa ndani ya [[mji]] wa [[Roma]] tu na habari za mwisho wa senati zimepatikana hadi mwaka [[600]] [[BK]]. Katika [[Dola la Roma Mashariki]] ([[Bizanti]]) senati ilidumu hadi mwisho kabisa, mnamo mwaka [[1453]], lakini [[karne]] za mwisho haikuwa na athira yoyote.
Katika Roma Mashariki ([[Bizanti]]) senati ilidumu hadi mwisho kabisa mnamo mwaka 1453 lakini karne za mwisho haukuwa na athira yoyote.
 
Senati ya Roma ilikuwa mfano kwa nchi nyingi; katika [[lugha]] za Ulaya [[taasisi]] mbalimbali huitwa kwa jina hili.
 
== Senati kama kitengo cha bunge katika nchi mbalimbali ==
Nchi mbalimbali huwa na senati kama sehemu ya [[bunge]] kamaikiwa ni bunge ya vitengo viwili ([[nyumba]] [[mbili]], vyumba viwili); hapo "senati" kwa jumla ni jina la "nyumba ya juu".
 
Katika [[Marekani]] "[[Senati (Marekani)|Senati]]" ni kitengo kimoja cha [[bunge]] ikiwa na mamalakamamlaka nyingi kuhusu [[siasa ya nje]] na kuthebitishwakuthibitishwa kwa maafisa wakuu wa [[serikali]]. Rai[[Rais]] anahitaji kibali cha senati kwa sehemu muhimu za [[siasa]] zake. Senati ya Marekani inaweza kusimamisha sheria zilizoamuliwa na [[Nyumba ya Wawakilishi]] (sehemu nyingine ya bunge). Senati ina wajumbe wawili kutoka kila dola[[jimbo]] la MareakniMarekani wanaochaguliwa kwa muda wa miaka 6.
 
Sawa na Marekani, kuna "Senati" kama kitengo cha bunge katika [[Ufaransa]], [[Kanada]], [[Italia]] (Senato della Repubblica), [[Rumania]], [[Ucheki]], [[Hispania]] (Senado), [[Australia]], [[Poland]], [[Ubelgiji]] na [[BrasiliaBrazil]].
 
Nchi nyingine zenye bunge la vitengo viwili hazitumii neno "senati", kwa mfano [[Ujerumani]].
 
Nchini Ujerumani "senati" ni jina la vitengo vya [[mahakama kuu]].
 
Katika nchi mbalimbali "Senati" ni jina la baraza kuu kwenye [[chuo kikuu]].
 
[[Jamii:Dola la Roma]]
[[Jamii:Siasa]]