Bunge : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Bunge''' ni chombo cha kutunga [[sheria]] na pia ni mmoja wa [[mhimili|mihimili]] mitatu inayounda [[mfumo]] wa [[utawala]] kulingana na [[mgawanyo wa madaraka]] katika dola. Mihimili mingine ni [[mahakama]] na [[serikali]].
 
Bunge ni chombo kinachotokana na [[mfumo wa utawala wa Westminster]], ambao umerithiwa na nchi nyingi [[duniani]] kutoka [[Uingereza]]. Kutokana na mfumo huo kuenea, mara nyingi [[Bunge la Uingereza]] huitwa "Mama wa Bunge" duniani.
 
Bunge la kwanza nchini Uingereza liliundwa wakati wa [[utawala]] wa [[Mfalme Henri III]] katika [[karne ya 13]]. Bunge hilo lina sehemu mbili, [[Bunge la Makabwela]] na [[Bunge la Mabwanyeye]].
 
Katika nchi nyingi zinazofuata mfumo wa [[Westminster]], [[Waziri Mkuu]] huwa ndio kiongozi mkuu wa [[serikali]] bungeni.
 
[[Shughuli]] za bunge husimamiwa na [[mbunge]] aliyechaguliwa kama [[mwenyekiti]], [[rais]] au [[spika]] wa bunge.
Mstari 11:
Kuna aina mbili za bunge
* bunge la "chumba kimoja" ambako wawakilishi wote wa wananchi hukaa na kufanya maazimio pamoja
* bunge la "vyumba viwili" ambako kitengo kikubwa zaidi kina kazi ya kutunga sheria na wabunge wake huchaguliwa moja kwa moja na wananchi katika [[majimbo]] ya [[uchaguzi]] yanayotakiwa kuwa takriban na [[idadi]] ya wapiga [[kura]] sawa. Kitengo kingine mara nyingi huitwa "[[senati]]" au "chumba cha juu" kwa kawaida ni kidogo zaidi, wabunge wake huchaguliwa ama na wawakilishi wa [[mikoa]] au majimbo au wanateuliwa pia kufuatana na kanuni za [[katiba]] (k.m. kwa shabaha ya kuwakilisha makundi maalumu katika [[jamii]]) na [[madaraka]] yake kwa kawaida ni madogo lakini inathebitishainathibitisha au kukataa sheria zilizoamuliwa na bunge la kwanza; lakini hapa kuna tofauti nyingi kati ya nchi na nchi.
 
 
== Mabunge ya Afrika ==