Theodosius Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|de}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Theod1.jpg|thumb|right|[[Sarafu]] inayomwonyeshayenye sura ya Kaizari Theodosius I.]]
 
'''Flavius Theodosius''' ([[11 Januari]], [[347]] – [[17 Januari]], [[395]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Roma]] kuanzia [[15 Mei]], [[392]] hadi kifo chake. Kabla hajatawala dola zima, alikuwa Kaizari upande wa Mashariki kuanzia Agosti [[378kifo]]. Upande wa Mashariki alimfuata [[Kaizari Valens|Valens]]chake. Theodosius alikuwa Kaizari wa mwisho aliyetawala dola zima la Roma. Wana wake wawili walishiriki utawala, [[Kaizari Honorius|Honorius]] upande wa Magharibi, na [[Arcadius]] upande wa Mashariki.
 
Kabla hajatawala [[dola]] zima, alikuwa Kaizari upande wa [[Mashariki]] kuanzia Agosti [[378]]. Upande wa Mashariki alimfuata [[Kaizari Valens|Valens]].
 
Theodosius alikuwa Kaizari wa mwisho aliyetawala dola zima la Roma. Ndiye aliyetangaza [[Ukristo]] wa [[Kanisa Katoliki|Kikatoliki]] kuwa [[dini rasmi]] ya dola.
 
Baada yake wanae wawili walishiriki [[utawala]], [[Kaizari Honorius|Honorius]] upande wa [[Magharibi]], na [[Arcadius]] upande wa Mashariki.
 
[[Waorthodoksi]] wanamheshimu kama [[mtakatifu]]. [[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe 17 Januari.
{{mbegu-Kaizari-Roma}}
 
Line 9 ⟶ 16:
[[Jamii:Waliozaliwa 347]]
[[Jamii:Waliofariki 395]]
[[Jamii:Watakatifu wa Italia]]