Theodosius Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
 
Theodosius alikuwa Kaizari wa mwisho aliyetawala dola zima la Roma. Ndiye aliyetangaza [[Ukristo]] wa [[Kanisa Katoliki|Kikatoliki]] kuwa [[dini rasmi]] ya dola.
 
[[Hati ya Thesalonike]] ilisisitiza [[imani]] [[moja]] tu kuwa halali katika dola la Roma, ile "katholiki" (yaani, isiyo ya sehemu) na "orthodoksi" (yaani, sahihi).
 
Tangu hapo, Theodosius alitumia nguvu nyingi kuzima aina zote za Ukristo tofauti na hiyo, hasa [[Uario]].<ref name="CathEncyTheo">{{CathEncy|wstitle=Theodosius I}}</ref>
 
Hati hiyo ilifuatwa mwaka [[381]] na [[Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli]], uliothibitisha na kuongezea ungamo la Nisea katika [[Kanuni ya imani ya Nisea-Konstantinopoli]].<ref>Boyd (1905), p. 45</ref>
 
Mwaka [[383]], Kaisari alidai [[madhehebu]] mengine yote yampatie maungamo yao ya imani, akayachambua na kuyachoma yote isipokuwa ya [[Wanovasyani]]. Hivyo madhehebu hayo hayakuruhusiwa tena kukutana, kuweka [[Padri|mapadri]] wala kueneza mafundisho yao.<ref>Boyd (1905), p. 47</ref> Theodosius alikataza wazushi wasiishi tena [[Konstantinopoli]], na miaka [[392]]-[[394]] alitaifisha [[maabadi]] yao.<ref>Boyd (1905), p. 50</ref>
 
Baada yake wanae wawili walishiriki [[utawala]], [[Kaizari Honorius|Honorius]] upande wa [[Magharibi]], na [[Arcadius]] upande wa Mashariki.
Line 16 ⟶ 24:
[[Jamii:Waliozaliwa 347]]
[[Jamii:Waliofariki 395]]
[[Jamii:Watakatifu wa Hispania]]
[[Jamii:Watakatifu wa Italia]]