Nuhu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
 
Jina lake (kwa [[Kiebrania]] '''נח''' ''Noah'', kwa [[Kiarabu]] '''نوح''' ''Nuhu'') linatafsiriwa na [[Kitabu cha Mwanzo]] ''Mfariji'', lakini maana ya hakika zaidi ni ''Anayeendeleza'' ubinadamu baada ya gharika.
 
Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]]. [[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[18 Novemba]].
 
==Katika Biblia==